Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Wewe ni tatizo

Sent from my KIW-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ila betting haijawah kumuacha mtu salama.mpaka mapadre na masheikh wanasuka mikeka[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
labda ulikua mtumishi mfagiaji, huwezi kua pandri wewe, kwa comments zako, otherwise unamsongo wa mawazo au ukichaa wako upo kiwango cha juu!


Asante bwana nra2303
Uzi wangu unasema Niulize chochote nikujibu.
Sasa nashindwa kuelewa hili lako aina gani ya swali.
 


Asante bwana chihe
Nimesema Uliza chochote nikujibu.
Hapo hata sijaona swali lilipo.
Nimeona umeandika Ngonjera tu.
 

Mashaka au uoga ulikujaaa kwa kuona umesomea yoteee na kuishia kuyaishi na ulipoishia katika dini hiyo wakati huo?
 
Sio ulifanyiwa kitu mbaya n wale mapadre wa zamani ambapo sasa hv baba mtakatifu anawaombea msamaha? Sema ukweli tu.
Maisha yako yamebadilika vp tangu kuacha upadre na kuwa ostadhi? Hebu fafanua
 
Wewe ndye mwenye hekima wakati unajulikana kwa kutoa maneno machafu humu jf?

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…