Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Wewe ni tatizo

Sent from my KIW-L21 using JamiiForums mobile app
 
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Ila betting haijawah kumuacha mtu salama.mpaka mapadre na masheikh wanasuka mikeka[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
labda ulikua mtumishi mfagiaji, huwezi kua pandri wewe, kwa comments zako, otherwise unamsongo wa mawazo au ukichaa wako upo kiwango cha juu!


Asante bwana nra2303
Uzi wangu unasema Niulize chochote nikujibu.
Sasa nashindwa kuelewa hili lako aina gani ya swali.
 
Wewe ulikua pepo tu ndo maana uliondoka. Daima ktk ukristo pumba hujiondoa zenyewe. Mtu aliesoma na kutembea kwa kiwango km hicho hawezi kuzungumza ujinga km wako wewe mcharo. Wewe ulikua ni shetani tu uliejipenyeza kanisani. Laana imekupata tyr ndio maana sasa unazungumza vitu visivyoeleweka bd kuokota makopo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app


Asante bwana chihe
Nimesema Uliza chochote nikujibu.
Hapo hata sijaona swali lilipo.
Nimeona umeandika Ngonjera tu.
 
Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.

Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani

Mashaka au uoga ulikujaaa kwa kuona umesomea yoteee na kuishia kuyaishi na ulipoishia katika dini hiyo wakati huo?
 
Sio ulifanyiwa kitu mbaya n wale mapadre wa zamani ambapo sasa hv baba mtakatifu anawaombea msamaha? Sema ukweli tu.
Maisha yako yamebadilika vp tangu kuacha upadre na kuwa ostadhi? Hebu fafanua
 
Asante bwana heradius12
Unaonekana una Kiu ya kujifunza dini hii ya haki.

Kitu kikubwa niliwazidi nyie mliobaki huko ni Hekima na Busara.
Nikupe mfano halisi????
Tumuite mtu asome comment yako hiyo juu niliyo kuquote, then asome na hii comment yangu niliyokujibu.
Then aseme nani kati yangu mimi na wewe anaonekana ana Hekima na Busara.
Bila shaka mwenye pumbu mbili ameonekana, na mwenye pumbu saba pia ameonekana.
Wewe ndye mwenye hekima wakati unajulikana kwa kutoa maneno machafu humu jf?

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom