Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Et mcharo ni kua na msimamo

Kaulize tena maana ya hlo neno "mcharo"

Japo sijui kama una uhai jf
 
Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.

Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Bora umetutoka aisee umeenda kwenye kundi unalofanana nalo kabisa.Adhana imekujuzaje kama hiyo ndo dini ya haki?
 
Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
Kwa majibu haya nimegundua kwa nini ulishindwa kudumu kanisani ukaamua kwenda kwenye dini ya haki [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kwa majibu haya nimegundua kwa nini ulishindwa kudumu kanisani ukaamua kwenda kwenye dini ya haki [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
RC hatujawahi kua na padri kama huyu. Hafu parokia anayosema alikuwepo mm nimeimba kwaya hapo
 
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.

Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuja suala la upelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilinisomesha kwa mamilioni ya pesa

bila shaka DINI ya haki ni UISLAMU au sio?
 
Huyu kafanya field pale St gasper itigi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muongoo. Hua anasema ni pale jimboni shinyanga ndo alipokua. Mapadre wa pale nawafaham wote na kule parokiani Buhangija.
 
Na itigi piah huyu Engeneer ndo padri
Hakuna kitu kama hicho. Akija na ID ya Eng anaandika historia nyingine na akija na hii ID ndo anajifanya padri.
Mtu aliyesoma Theology,Psychology,Philosophy hawez hata kidogo kua anaandika haya matusi.
He's just proclaiming hisself. MTU hadi upate daraja la upadri unakua kwenye 30yrs hivi ila huyu jamaa hana miaka hiyo.
 
Humble anasema TO wengi huwa vichaa jibu ndo hili
 
Hakuna kitu kama hicho. Akija na ID ya Eng anaandika historia nyingine na akija na hii ID ndo anajifanya padri.
Mtu aliyesoma Theology,Psychology,Philosophy hawez hata kidogo kua anaandika haya matusi.
He's just proclaiming hisself. MTU hadi upate daraja la upadri unakua kwenye 30yrs hivi ila huyu jamaa hana miaka hiyo.

Huyu ndio Chief engineer na ana id kibao tu

Cc: Padri Mcharo
 
Back
Top Bottom