chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Dish linatatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe na kisandu ni kundi moja?Kama lilivo jina langu.
Mimi ni Mcharuko kweli kweli.
Yaani sipendi uzushi, napenda facts.
Nikikuwashia moto lazima uimbe "a e i o u"
Kapigwa ban ya miez mitatu sasa iv anatumia id ya Ccnp engeerKafanyaje huyu adui wangu?
Bora umetutoka aisee umeenda kwenye kundi unalofanana nalo kabisa.Adhana imekujuzaje kama hiyo ndo dini ya haki?Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Kwa majibu haya nimegundua kwa nini ulishindwa kudumu kanisani ukaamua kwenda kwenye dini ya haki [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy.
Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko.
Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji.
Hivo nina hasira na pesa yangu
RC hatujawahi kua na padri kama huyu. Hafu parokia anayosema alikuwepo mm nimeimba kwaya hapoKwa majibu haya nimegundua kwa nini ulishindwa kudumu kanisani ukaamua kwenda kwenye dini ya haki [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kumbe ni jinga moja hiviRC hatujawahi kua na padri kama huyu. Hafu parokia anayosema alikuwepo mm nimeimba kwaya hapo
Padri kwa sababu nilishawahi kuwa Padri nimetumikia Parokia ya Itigi Singida kwa takriban miaka 7 na ushee.
Nenda pale Itigi utakuta habari zangu.
Mcharo kwa sababu ya misimamo yangu kiimani. Mimi ni mcharuko kweli linapokuja suala la upelekeshwa kwenye masuala ya dini.
Tangu nitambue dini ya haki niliachana kabisa na mambo ya utumishi.
Japo kanisa ndio lilinisomesha kwa mamilioni ya pesa
Huyu kafanya field pale St gasper itigi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]RC hatujawahi kua na padri kama huyu. Hafu parokia anayosema alikuwepo mm nimeimba kwaya hapo
Muongoo. Hua anasema ni pale jimboni shinyanga ndo alipokua. Mapadre wa pale nawafaham wote na kule parokiani Buhangija.Huyu kafanya field pale St gasper itigi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na itigi piah huyu Engeneer ndo padriMuongoo. Hua anasema ni pale jimboni shinyanga ndo alipokua. Mapadre wa pale nawafaham wote na kule parokiani Buhangija.
Hakuna kitu kama hicho. Akija na ID ya Eng anaandika historia nyingine na akija na hii ID ndo anajifanya padri.Na itigi piah huyu Engeneer ndo padri
Humble anasema TO wengi huwa vichaa jibu ndo hiliHakuna kitu kama hicho. Akija na ID ya Eng anaandika historia nyingine na akija na hii ID ndo anajifanya padri.
Mtu aliyesoma Theology,Psychology,Philosophy hawez hata kidogo kua anaandika haya matusi.
He's just proclaiming hisself. MTU hadi upate daraja la upadri unakua kwenye 30yrs hivi ila huyu jamaa hana miaka hiyo.
Hakuna kitu kama hicho. Akija na ID ya Eng anaandika historia nyingine na akija na hii ID ndo anajifanya padri.
Mtu aliyesoma Theology,Psychology,Philosophy hawez hata kidogo kua anaandika haya matusi.
He's just proclaiming hisself. MTU hadi upate daraja la upadri unakua kwenye 30yrs hivi ila huyu jamaa hana miaka hiyo.