Nakubaliana na wewe 100%. Wakuu wa vyuo hawawezi na sio suruhu na sio tatizo katika hili. Serikali inajikuna yenyewe katika hili. Kuna wanafunzi vyuo vikuu hawawezi kuandika sentensi ya kiingereza. Na shule za kata zimekuja kuwa hovyo kabisa na ndio matunda haya tuyaonayo.
Pia kikao hicho kinatarajiwa kujadili hali ya utoaji wa rishwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike vyuoni ambapo huadiwa alama za juu ili kufaulu mitihani yao ya mwaka wa mwisho kwa masharti ya kushiriki vitenndo vya ngono na wahadhiri wao.
😂Maisha ni rushwa, mfano unalipa tumbo rushwa ya ugali ili uishi, wakati kuishi ni haki yako...
Baraza la Kiswahili lipo mtunginiHivi suala la Ubora wa Wahitimu Vyuo vikuu linahitaji Mkutano wa dharura?
Siku hizi maana ya neno dharura haifahamiki vyema
Utaskia Breaking news ‘ Rais aanza ziara ya Kikazi Geita
Joyce alikuwa mhadhiri UDSM. Anajua kabisa tatizo la rushwa ya ngono UDSM.Kuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutranisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini.
Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni rahisi kabisa.
Wahitimu wengine wanashindwa kuandika barua za maombi ya kazi, kushindwa kufanya majaribio mbalimbali na hata pia kushindwa kuandika taarifa kwa kwa lugha ya Kiswahili na pia kwa lugha ya kiingereza.
Waziri wa elimu profesa Naalichako ameamua kuitisha kikao hicho kujadili kuona wapi kuna tatizo.
Pia kikao hicho kinatarajiwa kujadili hali ya utoaji wa rishwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike vyuoni ambapo huadiwa alama za juu ili kufaulu mitihani yao ya mwaka wa mwisho kwa masharti ya kushiriki vitenndo vya ngono na wahadhiri wao.
Ni muhimu taarifa kama hizi zikawekwa kwenye umma ili kuuelimisha kuhusiana na hali halisi ya kudorora kwa kwa kasi ya juu kwa utaji wa elimu ya juu nchini na kuachia wanafunzi khasa wa kike kutegema kutoa miili yao ili kupata alama nzyri.
waite kikao cha walimu wakuu wa shule za msingi.
Si rushwa huyo..😂
Mtoto mdogo akilia unampa biskuti ananyamaza
Naomba rejea ya chuo kikuu cha mfano wa kuigwa Tanzania, mpaka kanisa lipewe hiyo exclusive right. Mfano mdogo, nimesoma chuo cha umma. Mwalimu wangu wa somo la hesabu(statistics) alikua part time kwenye chuo kikuu cha kanisa, hicho chuo hakikua na mbadala wa huyo mwalimu. Hata ukiangalia handouts wanazosoma ni zile zile tunazosoma mpaka nuktaUendeshaji wa elimu hapa Tanzania wapewe kanisa Katoliki waiendeshe angalau kwa miaka 10 ili waweke msingi thabiti halafu ndio serikali ikabidhiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Label - "TETESI" lakini unajua kila kinachojadiliwaKuna tetesi kuwa kikao cha dharura kimeitishwa mjini Dodoma kinachowakutranisha wakuu wote wa vyuo vikuu nchini.
Hatua ya kuitia kikao hicho imetokana na hali mbaya ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini ambapo mara wanapoajiriwa katika sehemu mbalimbali wanashindwa kufanya kazi ambazo zingine ni rahisi kabisa.
Wahitimu wengine wanashindwa kuandika barua za maombi ya kazi, kushindwa kufanya majaribio mbalimbali na hata pia kushindwa kuandika taarifa kwa kwa lugha ya Kiswahili na pia kwa lugha ya kiingereza.
Waziri wa elimu profesa Naalichako ameamua kuitisha kikao hicho kujadili kuona wapi kuna tatizo.
Pia kikao hicho kinatarajiwa kujadili hali ya utoaji wa rishwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike vyuoni ambapo huadiwa alama za juu ili kufaulu mitihani yao ya mwaka wa mwisho kwa masharti ya kushiriki vitenndo vya ngono na wahadhiri wao.
Ni muhimu taarifa kama hizi zikawekwa kwenye umma ili kuuelimisha kuhusiana na hali halisi ya kudorora kwa kwa kasi ya juu kwa utaji wa elimu ya juu nchini na kuachia wanafunzi khasa wa kike kutegema kutoa miili yao ili kupata alama nzyri.
Uendeshaji wa elimu hapa Tanzania wapewe kanisa Katoliki waiendeshe angalau kwa miaka 10 ili waweke msingi thabiti halafu ndio serikali ikabidhiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona vyuo ngono haikwepeki,,Katoliki ndo wana madudu tena ya kingono mengi sana. Sema kwenye utawala kwa ujumla wako vizuri. Amka, kumeshakucha
Yaaani unaleta udini kwenye Mambo ya kitaifa...Kweli na wewe Elimu yako haijakusaidia.Uendeshaji wa elimu hapa Tanzania wapewe kanisa Katoliki waiendeshe angalau kwa miaka 10 ili waweke msingi thabiti halafu ndio serikali ikabidhiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakitumbuliwa bado hawatasaidia. Utamsaidia vipi mtu keshafika chuo ndio ukamfundishe kuandika barua ya kuomba kazi au kuandika CV?Kuna uwezekano mkubwa wakuu wa vyuo kutumbuliwa.