Kikao cha dharura kwa walioumizwa na mapenzi

Hivi nyie mnao umizwa na hii kitu mapenzi, hua mnaumia wapi?

Yaani nikikuuliza unaweza ukanionyesha panapo una kwasababu ya mapenzi?

Kuna mtu kaniambia eti anaumia kwasababu ya mapenzi, sasa nimemuuliza anionyeshe mahali panapo muuma
[emoji23][emoji23]
 
Cha msingi ni kutokuwa na expectations tu. Ukianza kutegemea lolote kutoka kwa ulienae, utapata stress na kuumia. Ubaya ukionesha kuumia kwako, wanawake wengi wanakushusha katika status ya umbwaa. Kwisha habari yako na depression baada ya hapo
 
Hakika mkuu
 
Kikubwa mungu alichokiweka kwa binadamu ni KUSAHAU. Mapenzi yanauma, unazoea inabaki story tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…