Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

Kuna mpango mkakati ccm wa kupoza joto la kisiasa na pia kumpunguzia mama pressure za matusi toka kenya ndipo wamemtuma Gwajima aongelee utekaji ili Serikali nayo waonekane wanaumia juu ya Utakaji wakati ni mbinu za kuuhadaa ulimwengu tu

UONGO hailet hata sense. Hujui lolote. Anachofanya Gwajima ni kuharibu wala haimpunguzii mama yenu pressure. Labda kama ni kilaza sana hata huelewi lugha aliyoitumia Gwajima.
 
Naona wameshaanza. Humu kuna machawa kama wawili hivi wametupia tred zao. Lakini wanachojisahaulisha machawa hawa ni kwamba Umma wa sasa ni ngumu sana kuudanyanya kwa propaganda zao. Watabwabwaja kupotosha na kupindisha ukweli lakini Umma unajua yupi mkweli na yupi ni njaa na yupi yuko upande wa Umma.
 

Hawa ni wale group la G8 ambao si riziki huwa wanaangalia tu waume zao wamewaambia nini.si kitu hawa.
 
Huyo gwaji boy katumwa na maza tu, hamna jipya hapo
 
Zaidi ya matusi kwake sioni atakayekuja na majibu ya maana. Uzuri kaenda na maelezo yaliyonyooka. Martha Karua si Mtanzania, hata sielewi umemuingiza vipi kwenye huu utetezi wako. Ama hujapewa kiitikio cha kumjibu Gwajima mpaka sasa?
Gwajima hatajibiwa.
 
Hii ndio saa 4 kuna chochote huko?
 
UJINGA MKUBWA SANA, Badala wajikite kujadili hoja wanatumia nguvu kufanya personal attacks! USELESS
 
Mchezaji manzoki alishawahi kusema kuwa yeye hawezi kujiunga timu ya rangi ya manyoka nyoka. Dk, Nabii, Mhe: Gwajiboy. endelea kuwafunulia watanzania mateso yote waliopitia baadhi ya watanzania wenzetu
 
IT IS VERY SIMPLE KUMJIBU.NI KUOMBA MSAMAHA KWA WATANZANIA NA KUWAFUTA KAZI WATAJWA BASI.HAPO HASIRA ZAWEZA KUTULIA.OTHERWISE YALE MASWALI NI MORE TECHNICAL ,UKIJICHANGANYA KUJIBU UNAJIMALIZA MWENYEWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…