Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

Sio Gwajima atafanyiwa chochote, bali yeye HAWEZI kuifanya chochote Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maneno hata Marekani kwa Trump yapo.
Kulikua hakuna was kumfanya chochote chuma wa awamu ya tano!lakini hakufanywa na serikali yake ikaishia pale alipotangazwa!!?na Sasa ni historia!!?

Ogopa sana damu za watu mkuu,Zina nena!!
 
Gwajima ku deal nae lzm ujipange
Yaani umtishie video 😅😅wanachekesha

Na amesema ametoa ushauri ti, km hautatekelezwa atarudia mara ya pili kivingine sio km jana

Wasicheze na jasusi la mbinguni
 
Gwajima ni mtu mdogo sana tena zaidi ya Martha Karua. Sasa kama Martha Karua kaicha nchi unshaken, unafikiri Gwajima ataifanya chochote! Subiri uone!
Pole sn
Ni kweli mdogo lkn Yuko mkubwa Ambae ndo kiboko ya watu km nyie na serikali
Kwani hata aliyepita so aliogopea Kil chotokea ni nn?
Nakukumbusha Mungu yupo na anajibu Tena majibu ya Mungu ni kiboko subiri uone
 
Hali imekuwa mbaya kiasi kikubwa. Fisi wanaoongozwa na Chura wanahangaika, kuwa Gwajima anapewa taarifa na nani.
🐸🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆👈🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂

#FREE TUNDU LISSU
 
Huenda alieandika hapo ni Gwajima,siasa na namna hii sishangai kwa msukuma aliyeko Arusha na Gwajima.Hawa ndio mfumo wao wa kuishi kwao kuanzisha kitu na kujipinga na kujionyesha wao na maneno yao ni wa maana sana
 

Watamfukuza Chama next week kwenye mikutano yao ya ndani. Huo ni Utabiri wangu.
 
Hakuna hii kitu

Tungeni hekaya nyingine
 
Mzee wa kuriamsha dude kashaanza amsha dude, ngoja vijana wa UVCCM wamjibu tuone
 
Gwajima ameongea kwa mifano ili ionekana hana uhakina lakini inaonekana ana taarifa zote nyeti.Ameongea ukweli ila kwa njia ya mifano.
Mru anayetoa mifano ni mtu aliyeelwa zaidi somo au mada, anazo nondo za kutosha. Muda ni muamuzi mzuri!!
 
Gwajima ni mtu mdogo sana tena zaidi ya Martha Karua. Sasa kama Martha Karua kaicha nchi unshaken, unafikiri Gwajima ataifanya chochote! Subiri uone!
KWANI NCHI KUTIKISIKA MPAKA UTIKISWE WEWE ULIYEKALIA GOGO CHINI YA MWEMBE? HAHAHAHAHAHA!!!?
 
Sawa ila muwe makini gwajima ana msemo wake " single touch, double manifestation"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…