Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

Munara ya babeli inakorogeka kwa kasi ya sixg
 
Kabla ya Uchaguzi bwana KOROGWE anaweza akapangiwa majukumu mengine, chini ya uongozi wake hasa kuelekea Uchaguzi siri zinavuja sana
Mnatuumiza bongo zetu kufikiria mambo!
KOROGWE ndiyo nani tena?
Kumbe fake Ids hazitusaidii sana kujiexpress!
 
Kwani BETINA wa bungeni yeye anasemaje? Au Bado kashikilia misimamo wa kutowajadili wasiojulikana Kwa kuwa hawajulikani?
 
Kuna vitu vinachekesha ukute wanataka kina baba levo wamjibu gwaji boy. Aka rashidi watavamia mtumbwi wa vibwengo
 
This utekaji saga ,My instinct is telling me BASHITE is mkuu wa hicho kikosi because since amerudi kwa serikali ndio utekaji kumetaradadi.Kikubwa ana watoto karma is real

Hiyo instinct yako ndiyo ukweli wenyewe.

Bicho kikundi kipo chini ya Bashite. Ndiyo maana hata walipomteka Sativa, kabla ya kwenda kumtupa kwenye hifadhi ya wanyama ya Katavi, walimpeleka kwanza kwa Bashite, Arusha.
 
Kwani BETINA wa bungeni yeye anasemaje? Au Bado kashikilia misimamo wa kutowajadili wasiojulikana Kwa kuwa hawajulikani?

Huyo hawezi kukubali utekaji ujadiliwe Bungeni kwa sababu yeye mwenyewe aliomba Mdude atekwe na kupotezwa.
 
Kesho komredi Lucas Mwashambwa atatoa ufafanuzi wa aliyoyasema Gwajima. Ufafanuzi wake ndo utakuwa msimamo wa JF
 
Kesho komredi Lucas Mwashambwa atatoa ufafanuzi wa aliyoyasema Gwajima. Ufafanuzi wake ndo utakuwa msimamo wa JF

Weekend watu wamepakatwa .... Tumebaki sisi wanaume single tu humu tunatafuta tafuta wanawake ambao nao ni single. Hamjambo lakini? Gwajima jana kapiga pipe kinoma. Mkono wake wa baunsa. Watu wameamka na maumivu bado. Mpaka wapoe
 
Hiyo instinct yako ndiyo ukweli wenyewe.

Bicho kikundi kipo chini ya Bashite. Ndiyo maana hata walipomteka Sativa, kabla ya kwenda kumtupa kwenye hifadhi ya wanyama ya Katavi, walimpeleka kwanza kwa Bashite, Arusha.
Ipo siku kila kitu kitakuwa wazi huyo bashite wala hahusiki
 
8 + 4 = 12
 
Duh,
Wameyakanyaga.
Inaelekea Gwajiboy anazo data za kutosha. Wamguse anuke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…