Kikao cha Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif Sharif Hamad ni muhimu kabla ya utangazaji matokeo

WanaJf, Salaam!

Ninapendekeza kufanyike kwa haraka kikao cha kuwakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.

Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi wa wapigakura, na utayari wa kukubali matokeo ya uchaguzi. Aidha, kikao hicho kwa kiasi kikubwa kinaweza kuratibiwa na uongozi wa Kanisa la Waadiventista Wasabato kwa kuwa huwa hawana upande wowote - lkn pia balozi zetu na asasi za kiraia zaweza kushirikishwa.

Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika ktk uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali.

Tanzania ni moja na hatuwezi kupata Tanzania nyingine ikiwa itavurugika, Zanzibar ni moja na hatuwezi kupata nyingine ikiwa itavurugika.

Nawatakia uchaguzi mwema 2020
Msakila Mussa Kabende
Mwanaccm
Kigoma - Tanzania
25 Oktoba, 2020
Kikao cha nini? Utaratibu ni ule ule ukipiga kura nenda nyumbani kasubiri matokeo yatangazwe na tume, mgombea ukishindwa kubali matokeo kama hukubaliani kata rufaa tume au nenda mahakamani, kinyume na hapo unavunja sheria na lazima vyombo vya dola vikushughulikie na utashughulikiwa haswa, hakuna muda wa kupoteza kukaa kikao wakati taratibu zote ziko wazi, wewe unaependa vikao itisha cha familia yako au chama chako.
 
Akili za wajinga Kama wewe, ni shida!! hivi unawazazi kweli wewe?? unandugu? weka kando ubinafsi wako!! Mleta mada ameangalia masirahi mapana ya nchi!!
masilahi ya nchi gani? kwaiyo rais akae kikao na mtu aliyekuja kuleta vurugu akiwa na tiketi mfukoni? hakun kikao wa masilahi mapana kama kikosi cha simba, afanye vurugu aone.
 
WanaJf, Salaam!

Ninapendekeza kufanyike kwa haraka kikao cha kuwakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.

Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi wa wapigakura, na utayari wa kukubali matokeo ya uchaguzi. Aidha, kikao hicho kwa kiasi kikubwa kinaweza kuratibiwa na uongozi wa Kanisa la Waadiventista Wasabato kwa kuwa huwa hawana upande wowote - lkn pia balozi zetu na asasi za kiraia zaweza kushirikishwa.

Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika ktk uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali.

Tanzania ni moja na hatuwezi kupata Tanzania nyingine ikiwa itavurugika, Zanzibar ni moja na hatuwezi kupata nyingine ikiwa itavurugika.

Nawatakia uchaguzi mwema 2020
Msakila Mussa Kabende
Mwanaccm
Kigoma - Tanzania
25 Oktoba, 2020
Wakutane ili iweje?
 
Ungekua nchi inaendeshwa na muungwana na ni nchi ya Kidemokrasia ingekua rahisi
Lakini huyu mtu ni balaa katili asie na chembe ya huruma wala Ubinadamu hawezi kufanya hivyo
acha ubwege wewe hii nchi siyo yenu nyinyi chadema au wafuasi wa lissu peke yenu, kiasi kwamba kila mnachotaka au kupendekeza kifanyike hakuna kikao na leteni vurugu sasa muone mtafurahi wenyewe kitakacho wakuta.
 
Unakumbuka matusi ya Kina Joho na Babu Owino kwa Kenyatta? Ila Kenyatta si aliwaita wakayamaliza.

Shida ya Afrika na watu wenye mentality kama zako ni kwamba winner takes All. Na anayeshindwa akose vyote. Hizi ndio zinajenga chuki kiasi ukimsupport Rais aliyepo madarakani utaitwa CCM na ukimkosoa unaonekana upinzani!!

Ilifikia stage ndege inakamatwa watu wanashabikia, watu wanashangilia kusikia vifo vya JW kule RDC. Nadhani uliona reaction siku Rais anaugua au Lissu anapigwa risasi matusi yaliyokuwa yanatolewa kwa pande zote.

Embu jiulize leo hii ingekua ndio tumevamiwa na Idd Amin wangapi wangejitolea kupigania taifa na wangapi wangeshabikia uvamizi ili mradi tu CCM ikomolewe?

Suluhisho ni inclusive politics.... Sasa kma nyie mnaona mnamkomoa mtu mmoja madhara mtayaona siku moja.

Kipindi cha kupiga kura hakitoi nafasi ya mazungumzo. Siasa ya uchaguzi inalazimisha adui yako kisiasa , umponde ponde ummalize, kiasi hata ikitokea akipata nafasi ya kuamka, hatakuwa na uwezo wowote wa kujibu mashambulizi kwa kipigo ulichompa.

Na ikitokea ameweza kujikusanya na kuamka ngumi yake inatakiwa iwe dhaifu sana kiasi haiwezi kuumiza.

Hii ndio mapigano ya siasa za uchaguzi.
 
WanaJf, Salaam!

Ninapendekeza kufanyike kwa haraka kikao cha kuwakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.

Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi wa wapigakura, na utayari wa kukubali matokeo ya uchaguzi. Aidha, kikao hicho kwa kiasi kikubwa kinaweza kuratibiwa na uongozi wa Kanisa la Waadiventista Wasabato kwa kuwa huwa hawana upande wowote - lkn pia balozi zetu na asasi za kiraia zaweza kushirikishwa.

Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika ktk uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali.

Tanzania ni moja na hatuwezi kupata Tanzania nyingine ikiwa itavurugika, Zanzibar ni moja na hatuwezi kupata nyingine ikiwa itavurugika.

Nawatakia uchaguzi mwema 2020
Msakila Mussa Kabende
Mwanaccm
Kigoma - Tanzania
25 Okto

WanaJF,Salaam!

Ninapendekeza kifanyike kikao cha haraja kitakachowakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.

Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi wa wapigakura, na utayari wa kukubali matokeo ya uchaguzi. Aidha, kikao hicho kwa kiasi kikubwa kinaweza kuratibiwa na uongozi wa Kanisa la Waadiventista Wasabato kwa kuwa huwa hawana upande wowote - lakini pia balozi zetu na asasi za kiraia zaweza kushirikishwa.

Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika katika uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali.

Tanzania ni moja na hatuwezi kupata Tanzania nyingine ikiwa itavurugika, Zanzibar ni moja na hatuwezi kupata nyingine ikiwa itavurugika.

Nawatakia uchaguzi mwema 2020
Msakila Mussa Kabende
Mwanaccm
Kigoma - Tanzania
25 Oktoba, 2020
Halafu mleta mada jiangalie kwani Lisu ndo mgombea peke yke kutoka upinzani?a au ndo wa kwanza kushangiliwa na akashinwa vilevile? kama unapenda vikao nenda mrina baa manzese huwa kuna vikao vingi kashiriki na kama unapenda kutoa ushauri sana mshauri mkeo kama unae juu ya afya bora ya uzazi.
 
masilahi ya nchi gani? kwaiyo rais akae kikao na mtu aliyekuja kuleta vurugu akiwa na tiketi mfukoni? hakun kikao wa masilahi mapana kama kikosi cha simba, afanye vurugu aone.
Wekeni itikadi pembeni likitokea linalotokea hata JPM ana free diplomatic kwenda nchi nyingi duniani - mimi na wenzangu ndio tutakaopata taabu
 
Halafu mleta mada jiangalie kwani Lisu ndo mgombea peke yke kutoka upinzani?a au ndo wa kwanza kushangiliwa na akashinwa vilevile? kama unapenda vikao nenda mrina baa manzese huwa kuna vikao vingi kashiriki na kama unapenda kutoa ushauri sana mshauri mkeo kama unae juu ya afya bora ya uzazi.
Umeshiba sembe - nashauri viongozi wenye nguvu za kisiasa kama umekosa usingizi tafuta season uangalie au fuatilia mechi za jana

Sina roho ya kishetani na sinuki damu
 
"Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika katika uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali".

CCM na Magufuli bila mabomu, wizi,ubabe,vifo na dhuluma haiwezi kushinda uchaguzi.
Wacha uwoga
 
Back
Top Bottom