Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka matusi ya Kina Joho na Babu Owino kwa Kenyatta? Ila Kenyatta si aliwaita wakayamaliza.Kikao kingekuwa na maana kama wagombea wangekuwa wanajua kuheshimu wenzao, yaani wakawa wanagombea kwa sera tu. Iwapo una mgombea ambaye sera yake ni kumtukana na kumshambulia matusi ya hovyo mgombea mwenzake unategemea wakutane kweli?
Hapo ndo penye utata! Watu wakiona wamedhulumiwa haki yao, watakinukisha tu, wakuumia ni wale wenye familia changa na wame-settle!NEC itende haki na kila kitu kiwe above board. Kusiwe na figisufigisu ya aina yoyote ili yeyote aliyeshindwa aone kweli ameahindwa na akubali matokeo.
How, nadhani hawaogopani bali wanaheshimiana tuHakuna mtu dunia hii anamuogopa Lisu kama Magufuli
Sasa tunaomba utulishe na jinsi gani yafaa ili maadui wa kisiasa wageuke kuwa marafiki wa kisiasamambo mengi uliyoandika ni ya kweli na maana sana ile ulianza post hii vibaya. Nilichoongea siyo swala la "mentality" yangu ya winner take all, bali ndiyo system yetu ilivyo. Zanzibar pale walijaribu unachoita inclusive politics kwa kumpa Hamad umakamu wa rais lakini haikumaliza mfarakano; hata Kenya unao-cite walifanya hiyo inclusive politics kwa kumpa Odinga uwaziri mkuu lakini pia haikumaliza tribalism na division miongoni mwao. Kupingana kwa sera ni tofauti kabisa na kufanya personal attacks. In fact akina Joho hawakuwa wanamtukana Kenyatta kama invyotokea hapa Tanzania leo hii.
Ili wasikinukishe - plz give us the best alternativeHapo ndo penye utata! Watu wakiona wamedhulumiwa haki yao, watakinukisha tu, wakuumia ni wale wenye familia changa na wame-settle!
Sawa, viongozi wanaomaliza muda wao wanawaamini wapya wawezao kuongoza - kwamba wapya hawatalipiza visasi - akina Lissu wanatoa neno gani kuwahakikishia promising Future?NEC itende haki na kila kitu kiwe above board. Kusiwe na figisufigisu ya aina yoyote ili yeyote aliyeshindwa aone kweli ameahindwa na akubali matokeo.
Usipate shida chukua tu Dar kama sample uone tutakavyompiga chini Lissu na CHADEMA sijawahi ona mwamko wa hasira wa kupiga kura dhidi ya CHADEMA na wagombea wake kama safari hii.NEC itende haki na kila kitu kiwe above board. Kusiwe na figisufigisu ya aina yoyote ili yeyote aliyeshindwa aone kweli ameahindwa na akubali matokeo.
Not so much sure kama ni wahini - unamaanisha tume ya uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa nchini hawafai - if not kwa nini waruhusu wahuni kuingia ulingoni?Yani unataka Rais Wa Nchi Akutane na Wahuniii
Haki haki haki! Haki ikitamalaki, Amani itachukua mkondo wake!Ili wasikinukishe - plz give us the best alternative
Tunaihitaji Tanzania kuwa sehemu ya kuishi badala ya kuwa sehemu uadui na kukinukisha
Ni kwa wanasiasa kutambua kuwa kutofautiana kiitikadi siyo uadui; na kiongozi wa chama kingine anatakaiwa ajadailiwe kiitikadi, siyo personal attacks.Sasa tunaomba utulishe na jinsi gani yafaa ili maadui wa kisiasa wageuke kuwa marafiki wa kisiasa
Ili waonekane kwa wananchi kuwa wahuniNot so much sure kama ni wahini - unamaanisha tume ya uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa nchini hawafai - if not kwa nini waruhusu wahuni kuingia ulingoni?
Nadhani hauishi Dar.... Kma kuna eneo wato hawatopiga kura kabisa ni Dar sasa hizo kura za kupania ni zipi?Usipate shida chukua tu Dar kama sample uone tutakavyompiga chini Lisu na chadema sijawahi ona mwamko wa hasira wa kupiga kura dhidi ya chadema na wagombea wake kama safari hii
Dar wameapa kuionyesha mikoa mingine kuwa hawa wahuni Chadema na Lisu hawatakiwi bongo dar es salaam jiji la watumia bongo zao
Katika maeneo atakayopata kura chache za kumtia aibu ni Dar es salaam
Huu uzi ulipaswa kujenga naona mnakuja na siasa za jino kwa jino;Iki waonekane kwa wananchi kuwa wahuni
Lisu atakuwa mgombea uraisi wa term moja tu kama wenzie hakuna mgombea uraisi wa upinzani wa muungano aliyewahi kurudi kugombea mara ya pili baada ya kubwagwa ugombea uraisi
Baada ya uchaguzi huu Lisu atauogopa ugombea uraisi kama ukoma
CCM safari hii hakuna kura ya huruma sababu tuko united hatujagawanyika kama kipindi cha mrema,Slaa au Lowasa walipoondoka CCM kura hazisambai zinaelekea one way kwa Dk Magufuli tu Lisu is a nobody
Dar tukiongoza kumpiga chini Lisu na Chadema
Mrema effect Mrema akikuwa na nguvu mno CCM akipinga mifisadi na wezi wa Mali za umma alikamata mke wa kiongozi mkuu serikalini akanyimwa ugombea CCM akatimukia NCCR mageuzi CCM tukikoswa koswa kupigwa chini watu walimbeba mrema CCM ikakatika vipande uchaguzi tuliponea chupuchupuHuu uzi ulipaswa kujenga naona mnakuja na siasa za jino kwa jino;
Wagombea Urais kubadilishwa nadhani ni jambo jema Kwa demokrasia ila hilo hampongezi ila Mbowe akiwa mwenyekiti vipindi vinne mnamuita dikteta!!
Inclusive politics inahusisha kugawana majukumu na madaraka ila nyie hamlioni hilo mnasubiri agombee mtu wa kaskazini 2025 mseme ni chama cha wachagga!! Ila akitokea kanda ya kati sioni mkipongeza.
Btw 2010 CCM haikua imegawanyika ila upinzani ulipata almost 40% sawa tu na walizopata 2015 sasa sijaelewa mgawanyiko upo ulinufaisha upinzani 2010?? Na Dk Slaa aliondola 1995 kivp madhara yatokee 2010 na sio hiyo 95 alipohama?
Naomba tusaidiane hapo