Ndyali
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,678
- 971
Lissu alipokuwa anapigania madini yetu, ulimtafsiri kuwa ni mkorofi na mwenye kiburi. Kimaigizo igizo JPM anaigiza kufanya aliyokuwa anafanya Tundu Lissu, mnakatia viuno JPM kwa mapambio kuwa JPM ni mzalendo analinda rasilimali zetu! Weee lijamaa ni mnafiki kumzidi Judah Iskariote.Lissu ana asili ya ukorofi na kiburi. Anajua hawezi pata Urais ila anatoa kauli za kichochezi kutugawa.