zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Slaa aliondoka CHADEMA 2015 alileta madhara gani? Kma Karati chadema ilipiga Hat-trick kuanzia mbunge, halmashauri mpaka Urais ina maana hana influence yoyote aliyopeleka CCM.
Lowassa Alikuta upinzani una 38% majority kwa matokeo ya serikali za mitaa na 2010!! Alichoongeza ni 3% tu ambazo ni kutokana na upinzani kuungana na kura za hasira za baadhi ya wana CCM (unless ukiri mliiba kura Otherwise kura za CCM ni 3% pekee)
Sasa naomba unisaidie Kama Lowassa aliongeza 3% pekee na Dr Slaa kuondoka hakukupunguza chochote ni kipi ambacho wataongeza wakiwa CCM tena?
Bottom line: Vyovyote itakavyokua mshindi wa uchaguzi huu atashinda kwa simple majority hakuna landslide kwa yeyote muhim uchaguzi uwe huru na haki na tutajua mbivu na mbichi.