Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Thread starter
-
- #101
Wakati ni ukuta hivi sasa huenda ni msikivu - lkn huenda mamlaka za kuwakutanisha zikawa ndizo zenye shida, woga, na kutojiamiMmoja kati yao hawezi kukubali kama aligoma mwafaka wa kitaifa je
Toa Tanganyika weka bara coz Zanzibar imeshatajwa kwa upande unaojitegemeaLakini hatuna mgombea wa Tanganyika
Msalimie bia yetu mwambie aandae matangaLissu hafai kushirikishwa, hastahili
Kikao cha nini? Utaratibu ni ule ule ukipiga kura nenda nyumbani kasubiri matokeo yatangazwe na tume, mgombea ukishindwa kubali matokeo kama hukubaliani kata rufaa tume au nenda mahakamani, kinyume na hapo unavunja sheria na lazima vyombo vya dola vikushughulikie na utashughulikiwa haswa, hakuna muda wa kupoteza kukaa kikao wakati taratibu zote ziko wazi, wewe unaependa vikao itisha cha familia yako au chama chako.WanaJf, Salaam!
Ninapendekeza kufanyike kwa haraka kikao cha kuwakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.
Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi wa wapigakura, na utayari wa kukubali matokeo ya uchaguzi. Aidha, kikao hicho kwa kiasi kikubwa kinaweza kuratibiwa na uongozi wa Kanisa la Waadiventista Wasabato kwa kuwa huwa hawana upande wowote - lkn pia balozi zetu na asasi za kiraia zaweza kushirikishwa.
Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika ktk uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali.
Tanzania ni moja na hatuwezi kupata Tanzania nyingine ikiwa itavurugika, Zanzibar ni moja na hatuwezi kupata nyingine ikiwa itavurugika.
Nawatakia uchaguzi mwema 2020
Msakila Mussa Kabende
Mwanaccm
Kigoma - Tanzania
25 Oktoba, 2020
masilahi ya nchi gani? kwaiyo rais akae kikao na mtu aliyekuja kuleta vurugu akiwa na tiketi mfukoni? hakun kikao wa masilahi mapana kama kikosi cha simba, afanye vurugu aone.Akili za wajinga Kama wewe, ni shida!! hivi unawazazi kweli wewe?? unandugu? weka kando ubinafsi wako!! Mleta mada ameangalia masirahi mapana ya nchi!!
Wakutane ili iweje?WanaJf, Salaam!
Ninapendekeza kufanyike kwa haraka kikao cha kuwakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.
Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi wa wapigakura, na utayari wa kukubali matokeo ya uchaguzi. Aidha, kikao hicho kwa kiasi kikubwa kinaweza kuratibiwa na uongozi wa Kanisa la Waadiventista Wasabato kwa kuwa huwa hawana upande wowote - lkn pia balozi zetu na asasi za kiraia zaweza kushirikishwa.
Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika ktk uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali.
Tanzania ni moja na hatuwezi kupata Tanzania nyingine ikiwa itavurugika, Zanzibar ni moja na hatuwezi kupata nyingine ikiwa itavurugika.
Nawatakia uchaguzi mwema 2020
Msakila Mussa Kabende
Mwanaccm
Kigoma - Tanzania
25 Oktoba, 2020
acha ubwege wewe hii nchi siyo yenu nyinyi chadema au wafuasi wa lissu peke yenu, kiasi kwamba kila mnachotaka au kupendekeza kifanyike hakuna kikao na leteni vurugu sasa muone mtafurahi wenyewe kitakacho wakuta.Ungekua nchi inaendeshwa na muungwana na ni nchi ya Kidemokrasia ingekua rahisi
Lakini huyu mtu ni balaa katili asie na chembe ya huruma wala Ubinadamu hawezi kufanya hivyo
sasa mnataka kikao cha nini? tulieni tuwanyooshe kesho matokeo yatoke halafu leteni vurugu mpate shoooHawezi kukaa na mtu aliyetaka afe Mungu akakataa
akaeenanani na ili iweje, aeende akakae na wazungu au atangulie the hague tutakutana huko.Kuna mtu mbaguzi na mwenye akili kuliko watanzania wote kati yao, hawezi kukaa na mtu hapo
labda ashinde na njaaaaMagufuli aondoke tu, kukaa naye vikao ni kuleta nuksi tu.
Lisu akishinda, hata ikulu Magufuli tusimkute.
Unakumbuka matusi ya Kina Joho na Babu Owino kwa Kenyatta? Ila Kenyatta si aliwaita wakayamaliza.
Shida ya Afrika na watu wenye mentality kama zako ni kwamba winner takes All. Na anayeshindwa akose vyote. Hizi ndio zinajenga chuki kiasi ukimsupport Rais aliyepo madarakani utaitwa CCM na ukimkosoa unaonekana upinzani!!
Ilifikia stage ndege inakamatwa watu wanashabikia, watu wanashangilia kusikia vifo vya JW kule RDC. Nadhani uliona reaction siku Rais anaugua au Lissu anapigwa risasi matusi yaliyokuwa yanatolewa kwa pande zote.
Embu jiulize leo hii ingekua ndio tumevamiwa na Idd Amin wangapi wangejitolea kupigania taifa na wangapi wangeshabikia uvamizi ili mradi tu CCM ikomolewe?
Suluhisho ni inclusive politics.... Sasa kma nyie mnaona mnamkomoa mtu mmoja madhara mtayaona siku moja.
WanaJf, Salaam!
Ninapendekeza kufanyike kwa haraka kikao cha kuwakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.
Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi wa wapigakura, na utayari wa kukubali matokeo ya uchaguzi. Aidha, kikao hicho kwa kiasi kikubwa kinaweza kuratibiwa na uongozi wa Kanisa la Waadiventista Wasabato kwa kuwa huwa hawana upande wowote - lkn pia balozi zetu na asasi za kiraia zaweza kushirikishwa.
Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika ktk uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali.
Tanzania ni moja na hatuwezi kupata Tanzania nyingine ikiwa itavurugika, Zanzibar ni moja na hatuwezi kupata nyingine ikiwa itavurugika.
Nawatakia uchaguzi mwema 2020
Msakila Mussa Kabende
Mwanaccm
Kigoma - Tanzania
25 Okto
Halafu mleta mada jiangalie kwani Lisu ndo mgombea peke yke kutoka upinzani?a au ndo wa kwanza kushangiliwa na akashinwa vilevile? kama unapenda vikao nenda mrina baa manzese huwa kuna vikao vingi kashiriki na kama unapenda kutoa ushauri sana mshauri mkeo kama unae juu ya afya bora ya uzazi.WanaJF,Salaam!
Ninapendekeza kifanyike kikao cha haraja kitakachowakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe.
Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi wa wapigakura, na utayari wa kukubali matokeo ya uchaguzi. Aidha, kikao hicho kwa kiasi kikubwa kinaweza kuratibiwa na uongozi wa Kanisa la Waadiventista Wasabato kwa kuwa huwa hawana upande wowote - lakini pia balozi zetu na asasi za kiraia zaweza kushirikishwa.
Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika katika uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali.
Tanzania ni moja na hatuwezi kupata Tanzania nyingine ikiwa itavurugika, Zanzibar ni moja na hatuwezi kupata nyingine ikiwa itavurugika.
Nawatakia uchaguzi mwema 2020
Msakila Mussa Kabende
Mwanaccm
Kigoma - Tanzania
25 Oktoba, 2020
Wekeni itikadi pembeni likitokea linalotokea hata JPM ana free diplomatic kwenda nchi nyingi duniani - mimi na wenzangu ndio tutakaopata taabumasilahi ya nchi gani? kwaiyo rais akae kikao na mtu aliyekuja kuleta vurugu akiwa na tiketi mfukoni? hakun kikao wa masilahi mapana kama kikosi cha simba, afanye vurugu aone.
Umeshiba sembe - nashauri viongozi wenye nguvu za kisiasa kama umekosa usingizi tafuta season uangalie au fuatilia mechi za janaHalafu mleta mada jiangalie kwani Lisu ndo mgombea peke yke kutoka upinzani?a au ndo wa kwanza kushangiliwa na akashinwa vilevile? kama unapenda vikao nenda mrina baa manzese huwa kuna vikao vingi kashiriki na kama unapenda kutoa ushauri sana mshauri mkeo kama unae juu ya afya bora ya uzazi.
Wacha uwoga"Kwa mtazamo wangu sioni haja kabisa ya mabomu kutumika katika uchaguzi na utangazaji matokeo, sioni haja ya risasi kutumika, sioni haja ya tume kusafisha wagombea kwa dodoki, sioni haja ya maandamano, wala sioni haja ya wagombea kuhasimiana. Naona haja ya mgombea kukiri kushindwa na kupongeza aliyeshinda kihalali".
CCM na Magufuli bila mabomu, wizi,ubabe,vifo na dhuluma haiwezi kushinda uchaguzi.
JPM labda akimbilie kwao Burundi nchi zingine watu watazaa naeWekeni itikadi pembeni likitokea linalotokea hata JPM ana free diplomatic kwenda nchi nyingi duniani - mimi na wenzangu ndio tutakaopata taabu
Tumieni lugha za staha - ana heshima kama kiongozi, watu watakaa katikati yao kuwaunganishaJPM labda akimbilie kwao Burundi nchi zingine watu watazaa nae
Staha kwa shangazi zetu kwanzaTumieni lugha za staha - ana heshima kama kiongozi, watu watakaa katikati yao kuwaunganisha
Ni kweli Magufuli atashinda njaa.labda ashinde na njaaaa