Kikao cha Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif Sharif Hamad ni muhimu kabla ya utangazaji matokeo

Kikao cha Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif Sharif Hamad ni muhimu kabla ya utangazaji matokeo

Hakuna amani bila haki.

Amani ni tunda la haki.

Peace is the function of justice, wherever justice prevails so also does peace.
 
Inaonekana hujui za ndani jikoni. Hao wengine walishakaa, isipokuwa Lissu amegoma, anasema hataki kukaa kikao cha kujadili amani, badala yake amesema atahudhuria kikao cha kujadili haki.
 
Hakuna amani bila haki.

Amani ni tunda la haki.

Peace is the function of justice, wherever justice prevails so also does peace.
Makoze, njoo na suluhisho ili twende pamoja na wafuatiliaji wa uzi huu wachangie effectively - tunaihitaji Tanzania yenye viongozi wastarabu - wepesi wa kupongeza wenzao walioshinda.Je, ujasiri huu wagombea wanao kweli??
 
Inaonekana hujui za ndani jikoni. Hao wengine walishakaa, isipokuwa Lissu amegoma, anasema hataki kukaa kikao cha kujadili amani, badala yake amesema atahudhuria kikao cha kujadili haki.
Kumbe, sijui kweli hebu nijuze ili na wengine waneemeke kwa majibu yako - hatuishi kujifunza
 
Kumkutanisha Lissu katika kikao kimoja na hao wengine uliowataja ni kumshushia hadhi Lissu.
 
Utopolo mtupu, mpaka sasa walioshinda na kushindwa vibaya mno washajijua. Mungu ibariki Tanzania.
 
Inasikitisha Sana kuona Taifa linameguka vipande vipande na kuna watu wanaona sawa!?
Kuna Mkoa, ambako ilikuwa ni ngome ya CHADEMA, Mwaka huu wagombea wote Madiwani na Wabunge wameondolewa !
CCM Wanashangilia lakini kuna uhasama mkubwa sana katika jamii hii, watu hawasalimiani, wamenuniana, kwa nini tufike huku. Tanzania kwa upofu au ulevi huu wa watu....kujiona ndio wenye hati Miliki ya kutawala, kitakuja jitokeza kitu cha hatari ambacho hakuna atakaye amini!
 
Magufuli aondoke tu, kukaa naye vikao ni kuleta nuksi tu.

Lissu akishinda, hata Ikulu Magufuli tusimkute.
 
Hongera kwa ushauri mzuri!! Kweli kabisa nchi ni yetu sote!! Haina maana kuumiza kwa ajili ya madaraka! Kila mwenye, atimize wajibu wake kwa haki bila upendeleo wowote!! Tume timizeni wajibu wenu kwa haki! Polisi timizeni wajibu wenu kwa haki!!
 
Mtu anayekuambia asiposhinda patachimbika huyo hata wafuasi wake wenye busara ni wachache mno,asilimia kubwa ni wahuni tu.Huyo akae mbali kabisa hatutaki kumuona.Tena usitukumbushe tukaanza kumwimbia nyimbo tulizomwimbia Oscar kambona (Mungu amrehemu)miaka ile.
Kubwa jinga hiloooo!
 
Ungekua nchi inaendeshwa na muungwana na ni nchi ya Kidemokrasia ingekua rahisi
Lakini huyu mtu ni balaa katili asie na chembe ya huruma wala Ubinadamu hawezi kufanya hivyo
 
Uhai wa Maisha ya Watanzania ni muhimu kuliko Uchaguzi wenyewe
 
AGITATOR you might be true - lkn maridhiano ni jambo muhimu (aliyeshinda na aliyeshindwa) wapaswa waunganishwe - wapatanishwe - Tanzania ni moja
Lissu ana asili ya ukorofi na kiburi. Anajua hawezi pata Urais ila anatoa kauli za kichochezi kutugawa.
 
Mitaa gani?
Nashindwa kutoa takwimu za ukubalika wa wagombea wa Urais kwa JMT sababu sina kibali lkn tayari uelekeo wa nani anashinda uko wazi sana

Himizeni kikao kufanyike kwa kuwa tunajenga nchi moja
Ukitoa Takwimu zinazoonyesha JPM atashinda huhitaji kibali! Lakini Takwimu za vinginevyo, unajitafutia matatizo ya kujikuta mikononi mwa Watu Wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom