Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

Kumbukeni chanzo cha taarifa hii ni nyeti najua yanga watakuja kukanusha lakini ndio ukweli wenyeweπŸ₯πŸ”¨
 
Uto kuvano wewaiyo… waiyo, dobi dobi !!!
 
Rotation ya timu ni muhimu sana,kocha wa simba amelifanyia kazi haraka sana hili kwani alianza bagua baadhi ya wachezaji sasa unaona kuna watu walikua panga pangua mwanzo sasa wanaingia sub,Gamondi anafanya rotation kukiwa na majeruhi which is wrong,wachezaji wanakua fitness ndogo sana kimchezo.
 
Kakubali kubeba lawama!
 
[emoji23]kwenye mkataba wa Mr domo kuna kipengele cha lazima acheze? Maana jamaa msimu huu ni amna kitu kabsa
Shida sana kua na wachezaj wa aina hii bei ghali yan matajiri wanakusanyika kumlipa mshahara na marupurupu..kwanza jana mmemtoa akasepa zake kaingia kwenye gari akasepa masikio kuzid kichwa ndio hii
 
Yanga watulie ligi bado, mbona haya yanawapata hata timu kubwa za ulaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…