Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ule Uzi utabaki kama kumbukumbu muhimu...😂😂😂Uto si huwa mnafufua uzi wa Hasara ya Aziz Ki. Vipi leo mbona kimya?
ukikaidi utapigwa2 zipompa redio Labani og
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule Uzi utabaki kama kumbukumbu muhimu...😂😂😂Uto si huwa mnafufua uzi wa Hasara ya Aziz Ki. Vipi leo mbona kimya?
Duuh uchochezi!Naambiwa Mkude na Manara wamekutwa chooni wanacheka...
Kumbukeni chanzo cha taarifa hii ni nyeti najua yanga watakuja kukanusha lakini ndio ukweli wenyewe🥍🔨Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi.
Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama rafiki zao imepelekea kuwa kama Mungu watu.
Aliulizwa kwanini baadhi ya wachezaji hawatumii nae akajibu kwanini hilo swali halikuwepo wakati timu inashinda, viongozi wameuliza kwanini timu inapata ushindi wa goli moja hapo ndipo alipokuw mkali sana.
Kumbukeni chanzo cha taarifa hii ni nyeti najua yanga watakuja kukanusha lakini ndio ukweli wenyewe!
PIA SOMA
- Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni
Tatizo simba hawako kwenye utani.Wanautaka ubingwa.Simba na Yanga wameachana point 1 tu, ni ujinga ku panic
Kabisa mkuu!Kumbukeni chanzo cha taarifa hii ni nyeti najua yanga watakuja kukanusha lakini ndio ukweli wenyewe🥍🔨
Kakubali kubeba lawama!Rotation ya timu ni muhimu sana,kocha wa simba amelifanyia kazi haraka sana hili kwani alianza bagua baadhi ya wachezaji sasa unaona kuna watu walikua panga pangua mwanzo sasa wanaingia sub,Gamondi anafanya rotation kukiwa na majeruhi which is wrong,wachezaji wanakua fitness ndogo sana kimchezo.
Sure....Matunda yakisha kuiva sharti yapelekwe sokoni, usipo fanya hivyo yatakuozea vilevile wachezaji wakihitajika kununuliwa wauzwe ili kupata wachezaji wengine wazuri zaidi
Heee. Hii nchi ukizima data dakika 5, ukiwasha unakutana na mapya...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida sana kua na wachezaj wa aina hii bei ghali yan matajiri wanakusanyika kumlipa mshahara na marupurupu..kwanza jana mmemtoa akasepa zake kaingia kwenye gari akasepa masikio kuzid kichwa ndio hii[emoji23]kwenye mkataba wa Mr domo kuna kipengele cha lazima acheze? Maana jamaa msimu huu ni amna kitu kabsa
Hivi huyu jamaa hajanywa sumu kweliUle Uzi utabaki kama kumbukumbu muhimu...[emoji23][emoji23][emoji23]
ukikaidi utapigwa2 zipompa redio Labani og
Wa ndani na wa nje..viongoz walichafukwa nadhan bado watu hawajajua maana halisi ya ubaya ubwela..Tatizo simba hawako kwenye utani.Wanautaka ubingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwishaaaa
Wameshapata mchawi ni uwanja!Yanga watulie ligi bado, mbona haya yanawapata hata timu kubwa za ulaya?
Camera ndio zimeumbua wanayofanya, kMC hakuna camera watafanya wanavyotaka,azam wamewabua.Wameshapata mchawi ni uwanja!