mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Kuna MTU kakuomba msamaha huko. Muda ni Mwalimu mzuri 👏Uto si huwa mnafufua uzi wa Hasara ya Aziz Ki. Vipi leo mbona kimya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna MTU kakuomba msamaha huko. Muda ni Mwalimu mzuri 👏Uto si huwa mnafufua uzi wa Hasara ya Aziz Ki. Vipi leo mbona kimya?
Salama Yao waache kama siku na Tabora vinginevyo AIBU inakuja very soon😁😁Ngoja tu FIFA walete kikosi kazi
Huko pia watakimbia kurujuan imeamza kazi!Camera ndio zimeumbua wanayofanya, kMC hakuna camera watafanya wanavyotaka,azam wamewabua.
Mchagua jembe simkulima
Wakati huko Bondeni hakukaliki Tabora Jumatano kuna sherehe🤣🤣 mpaka Jana walikuwa na gunia 10 za mchele🤣🤣
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi.
Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama rafiki zao imepelekea kuwa kama Mungu watu.
Aliulizwa kwanini baadhi ya wachezaji hawatumii nae akajibu kwanini hilo swali halikuwepo wakati timu inashinda, viongozi wameuliza kwanini timu inapata ushindi wa goli moja hapo ndipo alipokuw mkali sana.
Kumbukeni chanzo cha taarifa hii ni nyeti najua yanga watakuja kukanusha lakini ndio ukweli wenyewe!
PIA SOMA
- Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni