Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
5,814
Reaction score
8,118
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja kuu Tano:

1. Idadi ya wanawake wasio ndoani ni kubwa sana duniani hivyo hakuna sababu ya kuchukua wenye waume.

2. Wanaume HALISI hawasamehe wakibaini mke alicheat;

3. Wanawake walio ndoani huwaga hawakatai wakitongozwa (reserved for future study).

4. Game ya mke wa mtu huwa ni Kali sana mithili ya fainali na hii inaongeza shida ya kiroho kwa MUME wa mwanamke huyo.

5. Mke wa Mtu sumu hata kama ghetto una maziwa.

Mjadala ulikuwa mzito ila mwenyekiti alikuwa imara na mwisho wa Kikao ikaazimiwa hivyo.

Mwisho wa Kikao.
 
Ni uchafu kula mke wa mtu, kulala na mke wa mtu ni jambo la ajabu sana.

Unajua pasi na shaka, huyu analala na mume wake yule pale kila siku.

Sijui wanaume tuna shida gani, unakosaje pride ya kukubaliana na uchafu wa kiwango hicho.
 
Back
Top Bottom