Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Ni uchafu kula mke wa mtu, kulala na mke wa mtu ni jambo la ajabu sana.

Unajua pasi na shaka, huyu analala na mume wake yule pale kila siku.

Sijui wanaume tuna shida gani, unakosaje pride ya kukubaliana na uchafu wa kiwango hicho.
Lakini ikioshwa vizuri inakuwa mupya kabisa,
pia kuna wanaume mafedhuli wao hula ka mpalange tu, sehemu ambayo mume wake hagusi,,
 
Some time wake za watu wanazingua unakutana na mwanamke unajua kabisa huyu mke wa mtu ukimuuliza anakataa anakwambia haja olewa kikinuka baadae ndo anakuomba msamaha kwamba umsamee kwa kudanganya ila pia angalizo kama kijana kama bado hujajipata usioe mapema maana ndo utakuja kuanzisha uzi kila mara hapa kuwa unagongewa
 
Kweli usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.

Lakini nachoamini ukitaka mwanaume atulie, sharti afulie, akikosa pesa mfukoni mdomo hawezi kufungua, lakini akiwa na pesa, sio rahisi kumtuliza mwanaume.
Mkuu umechanganya mada. Kikao hakijaazimia kuzuia wanaume wasichepuke. Kimezuia wanaume kuchepuka na wake za watu. Hata hivyo, ukifulia ndoa ndio itakuwa ngumu kupita maelezo.
 
Kama Hawa tu ndio tusiwagonge
 

Attachments

  • Screenshot_20240417-170453~2.jpg
    Screenshot_20240417-170453~2.jpg
    80.7 KB · Views: 26
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja kuu Nne

1. Idadi ya wanawake wasio ndoani ni kubwa sana duniani hivyo hakuna sababu ya kuchukua wenye waume.

2. Wanaume HALISI hawasamehe wakibaini mke alicheat;

3. Wanawake walio ndoani huwaga hawakatai wakitongozwa (reserved for future study).

4. Game ya mke wa mtu huwa ni Kali sana mithili ya fainali na hii inaongeza shida ya kiroho kwa MUME wa mwanamke huyo.

Mjadala ulikuwa mzito ila mwenyekiti alikuwa imara na mwisho wa Kikao ikaazimiwa hivyo.

Mwisho wa Kikao.
Kupenda au kutembea na wake wa watu ni dalili kuu ya mtu-mume kuhitaji awe shoga bila shuruti.
 
Back
Top Bottom