Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Ni uchafu kula mke wa mtu, kulala na mke wa mtu ni jambo la ajabu sana.

Unajua pasi na shaka, huyu analala na mume wake yule pale kila siku.

Sijui wanaume tuna shida gani, unakosaje pride ya kukubaliana na uchafu wa kiwango hicho.
Lakini ikioshwa vizuri inakuwa mupya kabisa,
pia kuna wanaume mafedhuli wao hula ka mpalange tu, sehemu ambayo mume wake hagusi,,
 
Some time wake za watu wanazingua unakutana na mwanamke unajua kabisa huyu mke wa mtu ukimuuliza anakataa anakwambia haja olewa kikinuka baadae ndo anakuomba msamaha kwamba umsamee kwa kudanganya ila pia angalizo kama kijana kama bado hujajipata usioe mapema maana ndo utakuja kuanzisha uzi kila mara hapa kuwa unagongewa
 
Kweli usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.

Lakini nachoamini ukitaka mwanaume atulie, sharti afulie, akikosa pesa mfukoni mdomo hawezi kufungua, lakini akiwa na pesa, sio rahisi kumtuliza mwanaume.
Mkuu umechanganya mada. Kikao hakijaazimia kuzuia wanaume wasichepuke. Kimezuia wanaume kuchepuka na wake za watu. Hata hivyo, ukifulia ndoa ndio itakuwa ngumu kupita maelezo.
 
Kupenda au kutembea na wake wa watu ni dalili kuu ya mtu-mume kuhitaji awe shoga bila shuruti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…