Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Hilo jambo haliwezekani.

Mtoto mzuri wa kike awe mke wa mtu awe girlfriend wa mtu hawezi kujileta kwangu nikamtupa, nikamkataa, hilo jambo halipo. Unless awe hana vigezo vyangu.

Hata kama mke wangu watu watamla wamle tu ila siwezi kuacha kula mwanamke eti kisa ni mke wa mtu, haipo.
 
Nakazia.
 
Kweli usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.

Lakini nachoamini ukitaka mwanaume atulie, sharti afulie, akikosa pesa mfukoni mdomo hawezi kufungua, lakini akiwa na pesa, sio rahisi kumtuliza mwanaume.

Japo si Mara zote lakini pesa inaleta nguvu za kiume.

Tukirudi kwenye mjadala, naunga mkono hoja.

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.


Mithali 6:32
 
Wekeni namba ya simu ili wakijileta tutoe taarifa mje muwakamate
 
Tutajitahidi. Ila mke wa mtu mtamu nyie... weee
 
Ni uchafu kula mke wa mtu, kulala na mke wa mtu ni jambo la ajabu sana.

Unajua pasi na shaka, huyu analala na mume wake yule pale kila siku.

Sijui wanaume tuna shida gani, unakosaje pride ya kukubaliana na uchafu wa kiwango hicho.

Kwani mkuu ukilala na wanawake wengine wasio wake za watu, nao si huwa wana watu wao pia?

Kama ni suala la usafi basi watu waache kubinjuana iwe kwa wake za watu au wanawake wengine...
 
Natengua kula inaruhusiwa lakini kiakili sana sometimes huwa tunajazia ambapo mzee wa nyumba kapelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…