Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Kweli usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.

Lakini nachoamini ukitaka mwanaume atulie, sharti afulie, akikosa pesa mfukoni mdomo hawezi kufungua, lakini akiwa na pesa, sio rahisi kumtuliza mwanaume.
Na wewe ni muumini wa msemo wa wanawake wa mtwara? Wanamsemo wao "mwanaume muombee njaa mkalime vibarua" kwamba mwanaume akiwa na pesa haiwezi kutulia na mwanamke mmoja.
 
Kweli usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.

Lakini nachoamini ukitaka mwanaume atulie, sharti afulie, akikosa pesa mfukoni mdomo hawezi kufungua, lakini akiwa na pesa, sio rahisi kumtuliza mwanaume.
Afulie ili uanze kumtolea shombo kila kukicha. Wanawake ingekuwa ukiwasikiliza na kuwapiga pumbu tu wanatulizana bila kuwa na vidomo domo maisha ya ndoa yangekuwa matamu sana.

Mwanamke unampenda unamtmber na kumpa kila kitu ila still atakuletea ghasia zisizo na mpango. Ukichepuka anakuja
 
Ni uchafu kula mke wa mtu, kulala na mke wa mtu ni jambo la ajabu sana.

Unajua pasi na shaka, huyu analala na mume wake yule pale kila siku.

Sijui wanaume tuna shida gani, unakosaje pride ya kukubaliana na uchafu wa kiwango hicho.
inaonekana huujui uchafu mkuu
btw,mke wa mtu haliwi,hatongozwi
 
Witch hunter
 
4. Game ya mke wa mtu huwa ni Kali sana mithili ya fainali na hii inaongeza shida ya kiroho kwa MUME wa mwanamke huyo

Nakazia
, Mwanaume anadhurika Kiuchumi na Kihisia pia bila kusahau kijamii.
 
unaujua utamu wa wake za watu wewe.................kuna mmoja namlaga aisee huyu yuyu dada ni mtamu anajua kukatika na analamba koni kama balaa..................aliniomba nimle tigo nikachomoa
 
Hapo penye kukamiwa hivi why huwa hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…