Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja kuu Tano:

1. Idadi ya wanawake wasio ndoani ni kubwa sana duniani hivyo hakuna sababu ya kuchukua wenye waume.

2. Wanaume HALISI hawasamehe wakibaini mke alicheat;

3. Wanawake walio ndoani huwaga hawakatai wakitongozwa (reserved for future study).

4. Game ya mke wa mtu huwa ni Kali sana mithili ya fainali na hii inaongeza shida ya kiroho kwa MUME wa mwanamke huyo.

5. Mke wa Mtu sumu hata kama ghetto una maziwa.

Mjadala ulikuwa mzito ila mwenyekiti alikuwa imara na mwisho wa Kikao ikaazimiwa hivyo.

Mwisho wa Kikao.
Kwama kautaka asaidiwe
 
Wote tutakufa bwana wee wacha tule mbususus za wake za wtu.
Kwanza sheria ya kwanaza kwa mwanaume yoyote rijani ni kwamba mbususu haisuswi
 
umeambiwa mbususu ziko nyingi huko nje hizi za wenzako waliojitolea kwa udi na uvumba kuwasitiri hao wanawake ziache
 
Sasa kama inajilengesha kwa nini nisiigegede bwana wewe.
Sawa zipo nyingi lakini inayojileta yenyewe sharti uigegede
 
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja kuu Tano:

1. Idadi ya wanawake wasio ndoani ni kubwa sana duniani hivyo hakuna sababu ya kuchukua wenye waume.

2. Wanaume HALISI hawasamehe wakibaini mke alicheat;

3. Wanawake walio ndoani huwaga hawakatai wakitongozwa (reserved for future study).

4. Game ya mke wa mtu huwa ni Kali sana mithili ya fainali na hii inaongeza shida ya kiroho kwa MUME wa mwanamke huyo.

5. Mke wa Mtu sumu hata kama ghetto una maziwa.

Mjadala ulikuwa mzito ila mwenyekiti alikuwa imara na mwisho wa Kikao ikaazimiwa hivyo.

Mwisho wa Kikao.
Mke wa mtu mkimbie kama Yusuph wa kwenye Biblia!
 
Back
Top Bottom