Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Akili za usiku
Kwani yeye Nani amemkataza kumbeba baba Yake Urusi au china? Tena yeye ana mababa wawiliWe haujiulizi kule parestina yupo peke yake.lebanon yupo peke yake.
Kaenda Iran kambeba na baba yake.
Huyo hamna kitu.
It's the other way around, ungekuwa unaishi huku North America ungenielewa.Israel bila marekani ni mrembo.
Vyovyote vile.ila myahudi bila msaada wa marekani Kwa MUAJEMI hatoboi.huo ndo UKWELIIt's the other way around, ungekuwa unaishi huku North America ungenielewa.
Hii ya vita kuendelea mpaka mmoja achakazwe na kuisha kabisa au mmoja kaikimbia ndiyo yenyewe kwani ikiwa hivyo inakuwa uhakika kuwa havitakuja kutokea tena.Hapana vita iendelee mpaka mbabe apatikane.
Maana hao jamaa Wana jiona wababe.mwenzao alishawaambia mimi Sina silaha za nyuklia ila bado hawaelewi.wakatuma hadi watu wakafanye uchunguzi hawakukuta silaha.bado Wana muandama.wameua viongozi wao wengi tu,mpaka juzi hapo mzee khomenei nae wamemuua vita vinaisha vipi?
Acha viendelee heshima irudi.
Iran apoteze mazima tujue moja.au ashinde asimame zaidi
Huo ndo unyonge ambao Iran hautaki.Kwani yeye Nani amemkataza kumbeba baba Yake Urusi au china? Tena yeye ana mbaba wawili
You don't get it, do you?Vyovyote vile.ila myahudi bila msaada wa marekani Kwa MUAJEMI hatoboi.huo ndo UKWELI
Kabisa mkuu. Kama kuna uwezekano wa kukaa chini wafanye hivyoHIli jambo halifurahishi hata kidogo. Hao waliouwawa wanaziacha familia zao na ukiwa.
Hii vita iishe tu. Maisha ya kila mwanadamu ni ya thamani sana kuliko hizi jeuri wanazooneshana
🤣🤣🤣Kwani online meeting watafanya kwa kutumia teknolojia ya nani maana hehehe
Na wewe unaamini analia?! Subiri uone kama Irani atakuwa na makombora ya kurusha mwezi mzima!Huo ndo unyonge ambao Iran hautaki.
Ndo maana kaamua kusimama mwenyewe.
Sio hao wanabebana na bado wanalia Lia.
Trump anamlaumu waziri mkuunwa uingereza kumnyima Kambi zake Ili ampige Iran.
Unaanzisha vita unategemea watu
You were missed buddyHuyo ritz sasa hivi yuko Tamisemi anasimamia Mossad wa bongo.
Tukae sisi kwanza Watanzania tuache kuuana na kutekana.Kabisa mkuu. Kama kuna uwezekano wa kukaa chini wafanye hivyo
🤣🤣🤣.oyaa msichokijua ni kwamba mmeyakanyagaa.Na wewe unaamini analia?! Subiri uone kama Irani atakuwa na makombora ya kurusha mwezi mzima!
Tutaelewana mwisho wa safari.You don't get it, do you?
Ukisema hivyo na Israel je? Utaisemaje maana Israel ya kale ilijengwa Kwa msingi wa vita muraaa Kwa hiyo wamekutana🤣🤣🤣.oyaa msichokijua ni kwamba mmeyakanyagaa.
Hao vita wameanza kitambo hadi kwenye biblia na Quran WAMETAJWA.ndo michezo yao hyo
Labda ashinde na njaa.Hapana vita iendelee mpaka mbabe apatikane.
Maana hao jamaa Wana jiona wababe.mwenzao alishawaambia mimi Sina silaha za nyuklia ila bado hawaelewi.wakatuma hadi watu wakafanye uchunguzi hawakukuta silaha.bado Wana muandama.wameua viongozi wao wengi tu,mpaka juzi hapo mzee khomenei nae wamemuua vita vinaisha vipi?
Acha viendelee heshima irudi.
Iran apoteze mazima tujue moja.au ashinde asimame zaidi
Niliwaambia mapema kabisa Iran safari hii kayakanyaga watakwisha wote wasiposhtuka mapema!!!Tutaelewana mwisho wa safari.
Ila wanasema jengo lilikuwa empty. Hata yule mtoto wa Ayatolah kumbe hakuuawa. Sema hii vita iishe maana kwa watz itakula kwetu soonKwani online meeting watafanya kwa kutumia teknolojia ya nani maana hehehe