mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Mwenzio kaandika nini na wewe umeweka nini?
Mwenzio kaandika nini na wewe umeweka nini?
Same news different source, are you blind?Mwenzio kaandika nini na wewe umeweka nini?
Unasema uku umelegezIsrael bila marekani ni mrembo.
Dogo dunia haihitaji huruma...kupigwa mande kataka mwenyeweDogo tumia akili kidogo.
Marekani na Israel wapo wawili lakini Wana pambana na Iran yupo peke yake.na bado wanalia Lia wanaomba msaada.
Najua upo "TIMU WAREMBO" NDO MAANA UNAUMIA