Kikao cha watu 88 waliokutana kujadili mrithi wa Ayatollah wauawa wote kwa bomu

Nilikuwa na cross-check hii habari ni kweli jengo walilokuwemo limepigwa mabomu na ndege za Israel lakini haijathibishwa kama wote 88 waliokuwa kwenye kikao hicho kuchagua kiongozi mpya wamefariki, in due time tutajua matokeo ya shambulio hilo.
 
Niliwaambia mapema sana kuwa safari hii Ayatollah atalambishwa mchanga.

Leo hii walikusanyika wajumbe ili wachague atakayechukua kiti cha Marehemu Gaidi Ayatollah Ali Khamenei waliotarajiwa kuchagua na kuchaguliwa wote wameangamizwa hapo ndipo mtajua wana wa Israel ni Taifa teule!!!
 

Attachments

  • -2585924215840529702.mp4
    1,002 KB
Nilikuwa na cross-check hii habari ni kweli jengo walilokuwemo limepigwa mabomu na ndege za Israel lakini haijathibishwa kama wote 88 waliokuwa kwenye kikao hicho kuchagua kiongozi mpya wamefariki, in due time tutajua matokeo ya shambulio hilo.
Kwa kipondo hiki lazima wote wafe tu maana hakuna namna nyingine.

Kwa lilivyofanyika shambulio hilo magaidi hao lazima tu wafe maana watu wenyewe wanapenda kuuliwa kama Panya buku!!
 

Attachments

  • 5910367849389261806.mp4
    645.3 KB
  • 9112296410930300930.mp4
    2.3 MB
Hawa jamaa this time around wamekuja kivingine sana, walijiuli na wamejipanga haswa.
Literally kila kiongozi atakayechaguliwa atauawa within a very short period of time, na hata namna kukaa kuchagua uongozi mpya ni kama haiwezekani tena.
Still more, better die standing than living on your knees.
 
Ila wanasema jengo lilikuwa empty. Hata yule mtoto wa Ayatolah kumbe hakuuawa. Sema hii vita iishe maana kwa watz itakula kwetu soon
Watu kama wewe ndiyo wajinga kupindukia eti wanaxema nani anasema? Hao wanasema walete hapa watuambie na sisi wenye akili. Wanakuonea wewe tu maana wanajua wewe ni ** BUMUNDA** unatumika tu kama condom na waarabu!!!

Yaani wayahudi watoke Israel na ndege waje wapige jengo tupu halina watu kwa wewe ** BUMUNDA** inaingia alilini Mwako? Wakati huohuo watu haohao walimuibua Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kutoka kwenye shimo alikojificha na wakamuu na makamanda wake 40 jiulize watashindwaje kuwaua magaidi waliokusanyika kwenye Jengo kuchagua Ayatollah mtarajiwa?

Acha ujinga wako kawadanganye hukohuko kwenye Madrasa yenu sisi si wajinga kama wewe!!
 

Attachments

  • IMG_5051.jpeg
    260 KB · Views: 15
  • 5910367849389261806.mp4
    645.3 KB
  • 9112296410930300930.mp4
    2.3 MB
  • v15044gf0000d6hvra7og65q2e31qg80.mp4
    2.3 MB
Una thamini maisha ya wanaokufa na watakaokufa? Huzionei huruma familia zao?
 
Vita havina macho. Inasikitisha kwa kweli.
 
Hakuna kikao cha hivyo Iran, huwezi kuweka bunge kipindi cha vita, Iran imetoa taarifa kwa watu wa ngazi za juu kutofanya vikao vya aina hiyo
 
Hakuna kikao cha hivyo Iran, huwezi kuweka bunge kipindi cha vita, Iran imetoa taarifa kwa watu wa ngazi za juu kutofanya vikao vya aina hiyo
Hata kwa Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth mlikuwa mnapinga hivi hivi lakini ghafla tulianza kuona Anguko Lao kudhibitisha ninyi mlikuwa Mwajida Tanya wenyewe!!!

Waliokuwa Candidate nao wamefyekelewa mbali. Kikao hicho kilikuwepo!! Wana wa Israel huwa hawakurupuki kama unavyodhani wao wakiamua kupiga wanapiga kwenye Mshono hasa!!!
 

Attachments

  • -2585924215840529702.mp4
    1,002 KB
Endapo Iran asingeshambulia majirani zake hii vita Marekani angeshinikizwa iishe. Sasa ubaya kawapiga majirani wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…