Kikao cha watu 88 waliokutana kujadili mrithi wa Ayatollah wauawa wote kwa bomu

Una thamini maisha ya wanaokufa na watakaokufa? Huzionei huruma familia zao?
Familia za Watanganyika waliouawa na Samia na familia ambazo hazioni miili ya ndugu zao ndiyo zinaumiza sana.
 
Endapo Iran asingeshambulia majirani zake hii vita Marekani angeshinikizwa iishe. Sasa ubaya kawapiga majirani wote
Bora hata kashambulia hao puppets maana hao wanafiki ndio wanashirikiana na hao mabeberu kuihujumu Iran.
 
Hayo hayatuhusu. Tulipoibiwa kura na kuawa sijui kama walijali kama tunavyojali yao
 
Kwa kipondo hiki lazima wote wafe tu maana hakuna namna nyingine.

Kwa lilivyofanyika shambulio hilo magaidi hao lazima tu wafe maana watu wenyewe wanapenda kuuliwa kama Panya buku!!
Watu kama 88 hivi wameuwawa hapo
 
Wamewezaje kui-capture state , driving force ni ipi hasa
AIPAC(America Israel Public Affairs Committee) is the largest and the most influential lobbying group in the USA. They have more than 5 million members(hao members siyo wagagagigikoko ujue).
They have more than 3 million businesses focusing on broad array of policy issues.
Nchi wameikamata na kuitia mfukoni, allegedly Jeffrey Epstein alikuwa anafanya kazi kwa maelekezo ya MOSSAD na inaaminika kuna viongozi(wa sasa na wa zamani) ambao wako blackmailed.
 
Hatari sana
 
Hizo ni propaganda; Unajua vita inapiganwa uwanjani na kwa propaganda
Huwezi wakati wa Vita kuchukua taarifa zako zote kutoka Israel News paper wakati 60% ni propaganda
Nikudokezee; Ikulu ya Netanyahu imesambaratishwa jana na hajulikani kama yupo hai; Ila hilo Israel News hawawezi kureport
 
***** mkunya unajitia midole huku mbulula wenzako wanakuja kukushangilia na huu upupu, au hii lugha haipandi ?
Wayahudi wenyewe wameandika halafu wewe punga una kata viuono na kanga moja

 
Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a BIBI hafi leo wala kesho na wakumuua Bado kabisa hajazaliwa!!

Endeleeni tu kujidandanya kuwa hajulikani aliko!! Kwanza ujue alipo ili ufanye nini?
 
Unasema uku umelegeza mdomo kwa unyooooongeee😀😀
Dogo tumia akili kidogo.
Marekani na Israel wapo wawili lakini Wana pambana na Iran yupo peke yake.na bado wanalia Lia wanaomba msaada.
Najua upo "TIMU WAREMBO" NDO MAANA UNAUMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…