Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

Wewe kama huongi au kuhudumia mwanamke wako, kaa kimya. Kila mtu afanye kile anachoona sawa, acheni kuwaita majina ya fedheha wanaume wa shoka wenye mapenzi na wapenzi wao.

Kama wewe mtoa mada, asili yako ni wachoyo na bahili mnajulikana tulia. Acha kuambukiza huo ugonjwa wanaume wastaarabu wenye mapenzi yao. Pesa siyo zako zinakuumia nini? Jisemee wewe hutunzi mwandani wako. Mnabore sana, na haitaisha mtaona wakitunzwa. Kama mtu inamuuma awe mwanamke atunzwe nayeye tumewachoka.
 
[emoji23]
Umeandika kwa hisia sana nahisi mpaka umedondosha chozi la hasira.
 
Wewe kama huongi au kuhudumia mwanamke wako, kaa kimya. Kila mtu afanye kile anachoona sawa, acheni kuwaita majina ya fedheha wanaume wa shoka wenye mapenzi na wapenzi wao.

Kama wewe mtoa mada, asili yako ni wachoyo na bahili mnajulikana tulia. Acha kuambukiza huo ugonjwa wanaume wastaarabu wenye mapenzi yao. Pesa siyo zako zinakuumia nini? Jisemee wewe hutunzi mwandani wako. Mnabore sana, na haitaisha mtaona wakitunzwa. Kama mtu inamuuma awe mwanamke atunzwe nayeye tumewachoka.
baby pole kwa kuongea
 
KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Moja ya dalili zinazomtambulisha Mwanaume dhaifu ni kuhonga wanawake. Hata siku Moja huwezi kuta mwanaume Kamili anayejiamini na Alpha Male akahonga Wanawake.
Wanaume dhaifu ni rahisi kuwa Manipulated na wanawake. Wanaume dhaifu ni watu huendeshwa na Mihemko kuliko AKILI.

Wanaume dhaifu ndio Miaka yote hulalamika kuwa Wanawake wanapenda pesa kwa sababu wao ndio huwapa attention hao wanawake. Huwaendekeza na hiyo inawapa nafasi wanawake kuonyesha thamani Yao kwa hao wanaume dhaifu.

Haijawahi kutokea Alpha Male akalizwa au kutapeliwa na mwanamke kwa Sababu wao hawatoi pesa au Mali Zao kindezindezi. Alpha male hawawekezi kwa Wanawake ila wanawake ndio wanawekeza kwaajili ya alpha Male.

Wanaume dhaifu unaweza ukakuta amemhonga mwanamke Mtungi wa gesi wakati nyumbani kwao Wazazi wanatumia Jiko la Kuni au mkaa . Na huyo mwanaume akajiona yupo Sawa kabisa kichwani.

Mwanaume dhaifu anaweza kumsomesha mwanamke au kumlipia Ada lakini wadogo zake wanafukuzwa Ada. Mwenyewe atakupa visingizio kibao ili asisaidie ndugu zake.
Wanaume wengi wanaohonga wengi wanatabia hizo.

Mwanaume dhaifu anaweza akamtunza mtoto asiyewake alafu akaacha kutunza damu yake Kabisa.

Wanaume dhaifu ni wale ambao wanawekeza kwa Wanawake.

Wanaume dhaifu hulazimisha Mwanamke abaki kwenye maisha yao. Kwa sababu wao ndio hujivunia hao wanawake badala wanawake hao ndio wajivunie kuwa na Mwanaume.

Alpha Male hawezi kufanya huo ujinga. Kwani yeye ndio anajua mwanamke anakuwa proudly kumpata yeye na sio mwanaume kuwa proudly kuwa na mwanamke Fulani.
Alpha Male haogopi na Wala habembelezi mwanamke akitaka kumuacha.

Wanaume dhaifu hutafuta pesa ili kuwapata wanawake na ndio maana wengi wao hujikuta kwenye mateso na utumwa kwa Wanawake.
Wakati wanaume wanaojiamini na Alpha Male wao hutafuta pesa kwaajili yao wenyewe na hujali malengo Yao tuu.

Wanaume dhaifu mostly hufilisika na kubaki kuwa Maskini Kwa sababu ya kuwaendekeza Wanawake kwa kuwahonga.

Wazazi Makini wenye watoto wakiume lazima wawafundishe vijana wao kuwa wanamaadui watatu Wakuu;
1. Wanawake
2. Vilevi (kupitiliza)
3. Kamari.

Na lazima wawafundishe namna ya kukabiliana navyo.
Alpha Male wanajua wanawake ni viumbe wa aina gani. Lakini wanaume dhaifu hawajui wanawake ni viumbe wa aina gani.

Zingatia, Mwanaume Kamili anaihudumia familia yake, mkewe (mwanamke uliyemuoa au unayeishi naye). Nje ya hapo hauko responsible.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
💪💪💪 👊 tena
 
kizazi kinaangamia ,hawana maarifa na hawajui uzuri wa kusex na mwanamke msafi ,inabidi uje utoe elimu kidogo kwa vijana wa kizazi hiki sijui GenZ sijui nini😢
Nikimaliza shughuli zangu za Kilimo, nitajitahidi kuwapa shule ya bure Vijana wetu kuhusu hilo Mkuu

Pia, wanapaswa kujua kwamba Kuna umuhimu mkubwa wa wao kuwahudumia wapenzi wao

Kitendo cha kutowahudumia wapenzi wao, ndiyo kisa cha wao (Ke) kuwa na Wanaume wengi
 
sema mkuu mwanamke kuwa na wanaume wengi naomba uliongelee kwa muda wake ili wengi wajue chanzo ni nini je ni pesa,kutokuridhishwa ,tamaa au ugomvi
 
Back
Top Bottom