Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Wanaume wengi wanatumia Hela vibaya wanatapanya kwa malaya kisha baada ya muda wanafulia na Kuala za kusumbua watoto na wapwa zao wawape hela.
Ni huzuni kwa kweli
Ni huzuni kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kweli?Kuna wanaume ni jau sana yaan ni umbwaaaaa unakuta anasomesha demu wake huku wadogo zake wa kike hata dawa ya mswaki hawana
Changamoto The Mongolian Savage
Kuna wanaume ni jau sana yaan ni umbwaaaaa unakuta anasomesha demu wake huku wadogo zake wa kike hata dawa ya mswaki hawana
Changamoto The Mongolian Savage
Kwahiyo USENGE-Nyaji ni Sawa na kuua🙌🤣Jomba acha hizo mbanga za kujiita Alpha Male.... hao motivational speaker walioanzisha huo upuuzi wa kuwaweka kwenye makundi wanaume wenzao watakupoteza. Kama mtu hajafanya uhalifu kupata hela yake acha atumie atakavyo kwasababu atajifunza zikimwishia. Kimsingi kama unaona hela yako kumpa mwanamke ni ngumu achana na mambo ya wanawake na usianzishe nyuzi za kuwasengenya. Mtibeli utajisikiaje upo kwenye mstari wa kuingia motoni na kina Cornelio Nangaa, Bosco Ntaganda, Osama, Hitler, Kabarebe na makatili wengine halafu wewe unaingia kule kwa dhambi ya usengenyaji?
Nani kasema diamond haongi ,thubutuWanaume dhaifu wapokee hizo Pole.
Kama Diamond hahongi,
Na wapo matajiri kibao hawahongi alafu kuna kakijana Maskini hata kwao hakabadilisha maisha ya kwao kanahonga kwa nini kasipokee pole yako
Huyo SS amerogwa mpumbavu kabisa100% Fact. Kuna jamaa kaoa mnyakyusa huyo mnyaktusa baba ake ni mtu wa kyela na mama ake ni mtu wa Tukuyu basi unaambiwa jamaa kajenga Tukuyu na Kyela ( kwa baba mkwe na kwa mama mkwe)
Mama ake mzazi anaishi kwenye banda
Point sanaa mkuu kiufupi aje na hoja nyingine yenye mashike maan usipohudumia kitakachomtokea ni historia so kumhudumia mwanamke kunapunguza mwanamke kuwa omba omba ile mbayaHuenda tunatofautiana, Wanaume hatuhongi ila kuhudumia.
Mpenzi wako lazima umuhudumue ili apendeze
Kama hana visofa pale sebuleni kwake, basi kabla hajakuomba unatuma kirikuu kinampelekea
Hivi huoni Kuna raha ya kuhamisha pambano kutoka kitandani kuelekea Kwenye Sofa 😜
Bila kuhudumia, unapenda nani mwingine wa kumuhudumia?
Wazee wenu ndiyo tumezeeka hivyo 🤗
Hapo ndipo shida inapoanzia yaan unaona kabisa demu wako ana upungufu wa nguo za ndani unavunga aibu kubwa sanaaKabla hajawa Mke wako lazima alikuwa mpenzi wako.
Kumuhudumia mpenzi wako nayenyewe ni muhimu.
Hivi unajisikiaje kupishana na demu mkali anayetunzwa na Jamaa yake, wakati wewe mpenzi wako hata nguo za ndani tu hutaki kumnunulia
Sembuse hata unyunyu wa kumfanya anukie vizuri
Ni kweli ila sio kwa kizazi hichi mkuu mambo yamebadilikaHuenda uaminifu miongoni mwenu Vijana umekuwa changamoto.
Sisi zamani ilikuwa unaweza hata kumpeleka mchumba wako Shule ukamlipia ada hadi anamaliza Masomo.
Akimaliza ndiyo mnafunga Ndoa na kuanza kuishi pamoja
Nyie Vijana najua hamuwezi kufanya hayo
Kiimani iko hivyo. Itakuwa aibu kwa mwanaume kuingia motoni kwa sababu hiyoKwahiyo USENGE-Nyaji ni Sawa na kuua🙌🤣
Hamna dhambi bora mkuuKiimani iko hivyo. Itakuwa aibu kwa mwanaume kuingia motoni kwa sababu hiyo
Kila mwanamme mwenye sifa ya kuitwa mwanamme anahonga. Hongo ni chambo cha kumvutia na kuuteka moyo wa mwanamke unayempenda/mtaka. Tunatofautiana tu kwenye viwango. Elitira kumpata yule mdada, rika na watoto, wake haikuwa hivi hivi. Kadhalika Lyatonga. Kuna wanaohonga chibuku, ndio uwezo wao. Hata jogoo humrubuni mtetea kwa kumuitia chakula. Mtetea akiingia box, mengine yanaendeleNa asilimia kubwa ya wanaume ni wahongaji
Umeongea point mkuu, inaniwia ngumu sana kuona mwanamme mwenzangu anahonga hela ama zawadi mwanamke tena changudoa tu asiye na hili wala lile. Unampa changudoa hela ya kazi gani, kwanini usimpe mama yako hiyo hela au kusomesha ndugu zako?KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili zinazomtambulisha Mwanaume dhaifu ni kuhonga wanawake. Hata siku Moja huwezi kuta mwanaume Kamili anayejiamini na Alpha Male akahonga Wanawake.
Wanaume dhaifu ni rahisi kuwa Manipulated na wanawake. Wanaume dhaifu ni watu huendeshwa na Mihemko kuliko AKILI.
Wanaume dhaifu ndio Miaka yote hulalamika kuwa Wanawake wanapenda pesa kwa sababu wao ndio huwapa attention hao wanawake. Huwaendekeza na hiyo inawapa nafasi wanawake kuonyesha thamani Yao kwa hao wanaume dhaifu.
Haijawahi kutokea Alpha Male akalizwa au kutapeliwa na mwanamke kwa Sababu wao hawatoi pesa au Mali Zao kindezindezi. Alpha male hawawekezi kwa Wanawake ila wanawake ndio wanawekeza kwaajili ya alpha Male.
Wanaume dhaifu unaweza ukakuta amemhonga mwanamke Mtungi wa gesi wakati nyumbani kwao Wazazi wanatumia Jiko la Kuni au mkaa . Na huyo mwanaume akajiona yupo Sawa kabisa kichwani.
Mwanaume dhaifu anaweza kumsomesha mwanamke au kumlipia Ada lakini wadogo zake wanafukuzwa Ada. Mwenyewe atakupa visingizio kibao ili asisaidie ndugu zake.
Wanaume wengi wanaohonga wengi wanatabia hizo.
Mwanaume dhaifu anaweza akamtunza mtoto asiyewake alafu akaacha kutunza damu yake Kabisa.
Wanaume dhaifu ni wale ambao wanawekeza kwa Wanawake.
Wanaume dhaifu hulazimisha Mwanamke abaki kwenye maisha yao. Kwa sababu wao ndio hujivunia hao wanawake badala wanawake hao ndio wajivunie kuwa na Mwanaume.
Alpha Male hawezi kufanya huo ujinga. Kwani yeye ndio anajua mwanamke anakuwa proudly kumpata yeye na sio mwanaume kuwa proudly kuwa na mwanamke Fulani.
Alpha Male haogopi na Wala habembelezi mwanamke akitaka kumuacha.
Wanaume dhaifu hutafuta pesa ili kuwapata wanawake na ndio maana wengi wao hujikuta kwenye mateso na utumwa kwa Wanawake.
Wakati wanaume wanaojiamini na Alpha Male wao hutafuta pesa kwaajili yao wenyewe na hujali malengo Yao tuu.
Wanaume dhaifu mostly hufilisika na kubaki kuwa Maskini Kwa sababu ya kuwaendekeza Wanawake kwa kuwahonga.
Wazazi Makini wenye watoto wakiume lazima wawafundishe vijana wao kuwa wanamaadui watatu Wakuu;
1. Wanawake
2. Vilevi (kupitiliza)
3. Kamari.
Na lazima wawafundishe namna ya kukabiliana navyo.
Alpha Male wanajua wanawake ni viumbe wa aina gani. Lakini wanaume dhaifu hawajui wanawake ni viumbe wa aina gani.
Zingatia, Mwanaume Kamili anaihudumia familia yake, mkewe (mwanamke uliyemuoa au unayeishi naye). Nje ya hapo hauko responsible.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Kweli kabisa mkuu, hawa wanaume wa namna hii inabidi wakamatwe tu na kunyongwa maana wanatudharirisha sana wanaume tunaojitambu akili.KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI.

Kweli kabisa mkuu, hawa wanaume wa namna hii inabidi wakamatwe tu na kunyongwa maana wanatudharirisha sana wanaume tunaojitambu akili.
Nami nakubali Mkuu, wasichana wengi wa sasa sio waaminifu.Ni kweli ila sio kwa kizazi hichi mkuu mambo yamebadilika
Ndiyo tatizo la Vijana wengi, hawajui suala la hygiene ni muhimu kiasi gani katika kunogesha penzi.Hapo ndipo shida inapoanzia yaan unaona kabisa demu wako ana upungufu wa nguo za ndani unavunga aibu kubwa sanaa
kizazi kinaangamia ,hawana maarifa na hawajui uzuri wa kusex na mwanamke msafi ,inabidi uje utoe elimu kidogo kwa vijana wa kizazi hiki sijui GenZ sijui nini😢Ndiyo tatizo la Vijana wengi, hawajui suala la hygiene ni muhimu kiasi gani katika kunogesha penzi.
Imagine mchumba ako ana chupi mbili tu, na wewe Mwanaume upo tu kushuhudia hayo bila kuchukua hatua ya kumnunulia dazeni ya chupi