Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

Kuna watu kigoma mwisho wa reli wataishia kupasikia mwanaume ambae hahudumii kwa kudai kuwa ni kuhonga anakosa raha ya mapenzi 🤣. Bila kuhudumia femininity pia wataisikia kwenye bomba. Unakuta ke anafanya kazi kama kibarua misuli kama mwanariadha wa London marathon kisa bwana hataki kuhudumia. Wale ambao hawaja settle na mpenzi mmoja na ke wenye tamaa ya fisi haiwahusu!
Umesema sahihi, ukihudumia unamfanya mpenzi wako ajitume na kukupa vingi Kwa bed kuliko ukiwa huudumii
 
Wanaume dhaifu wapokee hizo Pole.

Kama Diamond hahongi,
Na wapo matajiri kibao hawahongi alafu kuna kakijana Maskini hata kwao hakabadilisha maisha ya kwao kanahonga kwa nini kasipokee pole yako
Mkuu mbona unaongea hoja dhaifu sana Diamond akihonga unadhani atatangaza aisee unajuaje hizo mambo za ndani za mtu mazee..
 
Utakuta mzazi au ndugu/rafiki anakulaumu kuwa unahonga wanawake hela badala ya kuwasidia wao.
 
Back
Top Bottom