Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ni kweli mkuu, na eneo jingine ambalo vijana tunafeli ni kwenye kufanya background check ya wenza wetu. Tunaoa kichwa kichwa bila kufatilia past ya mtu hata pale tunapojua ana past chafu tunafumbia macho kwa kufikiri atabadilika. A past is not just a past, is a pattern of habit and a true selfHii ni mojawapo ya sababu za kuibuka kwa janga la Utapeli katika Ndoa.
Ndoa zinakuwa hazidumu kwa sababu ndoa zenyewe zilitokana na influence ya Maslahi binafsi ya kiuchumi wala siyo kutokana na upendo wa dhati (natural love and affection) miongoni mwa Wanandoa.