Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Huenda uaminifu miongoni mwenu Vijana umekuwa changamoto.Kwa Zama hizi kila mtu ajitunze mwenyewe.
Tukianza kuishi au kumuoa nitahudumia.
Ninyi wazee wa zamani Kanuni zenu kwa sasa nyingi ni irrelevant
Sisi zamani ilikuwa unaweza hata kumpeleka mchumba wako Shule ukamlipia ada hadi anamaliza Masomo.
Akimaliza ndiyo mnafunga Ndoa na kuanza kuishi pamoja
Nyie Vijana najua hamuwezi kufanya hayo