Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

Wewe kama huongi au kuhudumia mwanamke wako, kaa kimya. Kila mtu afanye kile anachoona sawa, acheni kuwaita majina ya fedheha wanaume wa shoka wenye mapenzi na wapenzi wao.

Kama wewe mtoa mada, asili yako ni wachoyo na bahili mnajulikana tulia. Acha kuambukiza huo ugonjwa wanaume wastaarabu wenye mapenzi yao. Pesa siyo zako zinakuumia nini? Jisemee wewe hutunzi mwandani wako. Mnabore sana, na haitaisha mtaona wakitunzwa. Kama mtu inamuuma awe mwanamke atunzwe nayeye tumewachoka.
 
[emoji23]
Umeandika kwa hisia sana nahisi mpaka umedondosha chozi la hasira.
 
baby pole kwa kuongea
 
πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ πŸ‘Š tena
 
kizazi kinaangamia ,hawana maarifa na hawajui uzuri wa kusex na mwanamke msafi ,inabidi uje utoe elimu kidogo kwa vijana wa kizazi hiki sijui GenZ sijui nini😒
Nikimaliza shughuli zangu za Kilimo, nitajitahidi kuwapa shule ya bure Vijana wetu kuhusu hilo Mkuu

Pia, wanapaswa kujua kwamba Kuna umuhimu mkubwa wa wao kuwahudumia wapenzi wao

Kitendo cha kutowahudumia wapenzi wao, ndiyo kisa cha wao (Ke) kuwa na Wanaume wengi
 
sema mkuu mwanamke kuwa na wanaume wengi naomba uliongelee kwa muda wake ili wengi wajue chanzo ni nini je ni pesa,kutokuridhishwa ,tamaa au ugomvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…