Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."
Duru.
Duru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meko alikata moto kiutamu sana😂😂😂😂uzuri watakata tu moto kama meko
😂Meko alikata moto kiutamu sana
Haifahamiki.Kwani ile channel ya kikeke au kiba?
Ila kuna sababu kwanini wa katize mahojianoHaifahamiki.
Yaani nimekutukana tusi lile la nguoni😂😂😂😂uzuri watakata tu moto kama meko
yap, uko sahihi.Sidhani kama hilo lina ukweli.
Nachojua ni utaratibu wake siku zote kuweka mahojiano vipande vipande kama episode kwa siku baada ya siku.
Sijawahi kuona ameweka full interview kwa siku moja.
Acha kuweweseka 🐼Yuko wapi jiwe aliyekataza hata Uzazi wa Mpango?
Kwenye uzazi wa Mpango Magu alifuata ushauri wetu.Yuko wapi jiwe aliyekataza hata Uzazi wa Mpango?