Tetesi: Kikeke na Crown wapigwa mkwala na kuelekezwa wakatishe matangazo mbashara na Tundu Lissu

Tetesi: Kikeke na Crown wapigwa mkwala na kuelekezwa wakatishe matangazo mbashara na Tundu Lissu

Yule alikuwa mwendawazimu watu walishaambiwa makundi yaliyokuwa hatarishi kufyekwa na UVIKO ni yapi na ikiwemo watu wenye shida za moyo kama yeye , akawa anapuuza tu anajichanganya kwenye mikusanyiko na havai mask hataki chanjo anasema maombi yaliondoa UVIKO.
he had a gross imbecility.
 
Tundu Lissu ni careless kwa kusema kwamba Wassira ni debe tupu.
Kwa kusema kwamba yeye ni Chairman,ataongea na Chairman mwenzake,hana muda wa kuongea na watu wadogo.
Arrogance,Mbowe amekiongoza Chama kwa miaka 20,Tundu Lissu anataka kukiua Chama baada ya siku mbili.
Wewe umehadithiwa haujasikiliza yale mahojiano,embu kasikilize tena ndio uje uchangie hapa.
 
Back
Top Bottom