Tetesi: Kikeke na Crown wapigwa mkwala na kuelekezwa wakatishe matangazo mbashara na Tundu Lissu

"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."

Duru.
Hapo ndipo Tundu ata anza kujua serikali ni kitu gani. Tulisema huyu jamaa hajui siasa tuka dharauliwa.
 
na ndo kwanza ni mwanzo yajayo yanafurahisha .....spana itembee
 
"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."

Duru.
Acha upotoshaji, itakuwa huwa hufuatilii vipindi vya Kikeke
 
Back
Top Bottom