Tetesi: Kikeke na Crown wapigwa mkwala na kuelekezwa wakatishe matangazo mbashara na Tundu Lissu

Jiwe alikuwa Mcha Mungu?
Magufuli alikuwa Nabii, mtumishi wa Mungu.

John=Yohana

Ndiye aliyewwkwa na Mungu Ili kuandaa ujio wa utawala wa Mungu katika tawala za WANADAMU.

Tanzania ni Magu, USA ni Trump.

Yeyote akaaye viti vikuu kuongoza WANADAMU, asipotimiza kusudi la Mungu duniani,

KITI hicho hakitakalika.

Lissu ni mtumishi wa Mungu pia.

Tusubiri.
 
"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."

Duru.
Tundu Lissu ni careless kwa kusema kwamba Wassira ni debe tupu.
Kwa kusema kwamba yeye ni Chairman,ataongea na Chairman mwenzake,hana muda wa kuongea na watu wadogo.
Arrogance,Mbowe amekiongoza Chama kwa miaka 20,Tundu Lissu anataka kukiua Chama baada ya siku mbili.
 
Hii ndo Raha ya Tundu anajuwa kuiweka CCM busy.
Like this
images (1).jpeg
 
Tundu Lissu ni careless kwa kusema kwamba Wassira ni debe tupu.
Kwa kusema kwamba yeye ni Chairman,ataongea na Chairman mwenzake,hana muda wa kuongea na watu wadogo.
Arrogance,Mbowe amekiongoza Chama kwa miaka 20,Tundu Lissu anataka kukiua Chama baada ya siku mbili.
Vijana wa mbowe mnateseka sana.
 
Tundu Lissu ni careless kwa kusema kwamba Wassira ni debe tupu.
Kwa kusema kwamba yeye ni Chairman,ataongea na Chairman mwenzake,hana muda wa kuongea na watu wadogo.
Arrogance,Mbowe amekiongoza Chama kwa miaka 20,Tundu Lissu anataka kukiua Chama baada ya siku mbili.
Kuna maeneo hayataki masihara.
 
Eti yote haya ni attributed to hofu juu ya lile banda la pale chamwino
 
Sidhani kama hilo lina ukweli.

Nachojua ni utaratibu wake siku zote kuweka mahojiano vipande vipande kama episode kwa siku baada ya siku.

Sijawahi kuona ameweka full interview kwa siku moja.
Huo ndio ukweli. Hata mahojiano ya mbowe hayakurushwa yote siku moja na anasema wazi tusubiri episode inayofuata. Watu wanapenda kuzusha mambo utafikiri wao ndio wako hizo ngazi za juu zinazotoa amri
 
Hahaha
 
"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."

Duru.
Mbona bi kizimkazi juzi kasema hataki watu kutumia jina la maagizo toka juu kujifanya kawatuma...kasema juu haipo watu wapige kazi.

Kikeke piga kazi mpwaa- ruksa waliokupigia simu ni machawa tu kama kina baba levo
 
"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."

Duru.
Hii nchi inahitaji ukombozi...nimeamua kwa moyo mmoja kujiunga na Lissu kuidai Tanganyika yetu.
 
Meko alikata moto kiutamu sana
Yule alikuwa mwendawazimu watu walishaambiwa makundi yaliyokuwa hatarishi kufyekwa na UVIKO ni yapi na ikiwemo watu wenye shida za moyo kama yeye , akawa anapuuza tu anajichanganya kwenye mikusanyiko na havai mask hataki chanjo anasema maombi yaliondoa UVIKO.
 
Back
Top Bottom