Magufuli alikuwa Nabii, mtumishi wa Mungu.Jiwe alikuwa Mcha Mungu?
Kwenye kikao kunakuwaga na mengineyo au umesahau?Hivi huko shuleni ulienda somea ujinga??!
Hilo sio lengo la mtoa mada..
Jikite kwenye hoja ya msingi.
Tundu Lissu ni careless kwa kusema kwamba Wassira ni debe tupu."....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."
Duru.
Like thisHii ndo Raha ya Tundu anajuwa kuiweka CCM busy.
Vijana wa mbowe mnateseka sana.Tundu Lissu ni careless kwa kusema kwamba Wassira ni debe tupu.
Kwa kusema kwamba yeye ni Chairman,ataongea na Chairman mwenzake,hana muda wa kuongea na watu wadogo.
Arrogance,Mbowe amekiongoza Chama kwa miaka 20,Tundu Lissu anataka kukiua Chama baada ya siku mbili.
Kuna maeneo hayataki masihara.Tundu Lissu ni careless kwa kusema kwamba Wassira ni debe tupu.
Kwa kusema kwamba yeye ni Chairman,ataongea na Chairman mwenzake,hana muda wa kuongea na watu wadogo.
Arrogance,Mbowe amekiongoza Chama kwa miaka 20,Tundu Lissu anataka kukiua Chama baada ya siku mbili.
Mpaka wana loose focus.....unakumbuka enzi za Dr Jpm? Mzee aliteseka sanaHii ndo Raha ya Tundu anajuwa kuiweka CCM busy.
Mambo ya Nchi wanataka kubwabwaja tu kiutani utani wakati Wananchi wanateseka wao wananeemeka mpaka wamekuwa vibabuKuna maeneo hayataki masihara.
Huo ndio ukweli. Hata mahojiano ya mbowe hayakurushwa yote siku moja na anasema wazi tusubiri episode inayofuata. Watu wanapenda kuzusha mambo utafikiri wao ndio wako hizo ngazi za juu zinazotoa amriSidhani kama hilo lina ukweli.
Nachojua ni utaratibu wake siku zote kuweka mahojiano vipande vipande kama episode kwa siku baada ya siku.
Sijawahi kuona ameweka full interview kwa siku moja.
HahahaHuo ndio ukweli. Hata mahojiano ya mbowe hayakurushwa yote siku moja na anasema wazi tusubiri episode inayofuata. Watu wanapenda kuzusha mambo utafikiri wao ndio wako hizo ngazi za juu zinazotoa amri
Mbona bi kizimkazi juzi kasema hataki watu kutumia jina la maagizo toka juu kujifanya kawatuma...kasema juu haipo watu wapige kazi."....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."
Duru.
Hii nchi inahitaji ukombozi...nimeamua kwa moyo mmoja kujiunga na Lissu kuidai Tanganyika yetu."....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."
Duru.
Wachawi walishakufaYaani nimekutukana tusi lile la nguoni
Kuna mtabiri katoa yake tazama hiiMeko alikata moto kiutamu sana
Ni ya kikeke. Kiba uenda ni patner au ana hisa au alitumika kweny upand w marketingKwani ile channel ya kikeke au kiba?
Kazi ipo"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla."
Duru.
Yule alikuwa mwendawazimu watu walishaambiwa makundi yaliyokuwa hatarishi kufyekwa na UVIKO ni yapi na ikiwemo watu wenye shida za moyo kama yeye , akawa anapuuza tu anajichanganya kwenye mikusanyiko na havai mask hataki chanjo anasema maombi yaliondoa UVIKO.Meko alikata moto kiutamu sana