MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
brilliant reply of the day🚮🚮 🚮
vibwengo kwenye siasa ni kichekesho sana aise gentlemanCcm tayari wanajua wameshaonekana ni chama kibovu na wao ukweli huo wanaujua. Na kwa sehemu kubwa cdm ndio wamechangai kuanika ubovu wa cdm. Sasa wanachofanya ccm ni kuonyesha wao sio wabovu peke yao, bali hata cdm ni wabovu kama wao ama zaidi.
Wanaitwa kaa mkuuHizo ni dalili bayana za walioshindwa na hawataki waonekane wameshindwa. Wana inferiority complex. Hata maisha nje ya siasa hao watu wapo. Kukubali madhaifu ni hatua moja ya kujitambua na kurekebisha ulipokosea.
Kuna wadudu gani wale ukiwaweka kwenye ndoo wazi hawatoki wote, akipanda mmoja wa chini anamvuta wanarudi chini wote. Ndo CCM hao na mjane wao.
Hajalishi CDM wanafanya niniPamoja na Changamoto walinazo hao wanaodandia hoja za kuwananga Chadema ila kwa upande mwingine Chadema wanatakiwa kujipambua kuwa ni chama cha namna gani ili kuweza kuchora mstari ulionyooka katika ya Chama cha Siasa na vikundi vya wanaharakati hata kama kuna mahali wanakutana katika mapambano yao ya kudai haki na usawa kwenye jamii.
Kuna aina fulani ya mazingira ambayo Chadema wameweka kama loophole ambayo maadui zao kisiasa wanaitumia kuwafarakanisha. Kwa hiyo wasipokuwa makini wanaweza kujikuta wanapigiwa miluzi ya ajabu ajabu kutoka kila kona kiasi cha kusababisha na wao wapoteze focus ya kile wanachokiamini na kukipigania.
Ukweli vita waliyonayo CDM ni kubwa sana.
Ni sawa na mtu kutumia kosa la mwingine kuhalalisha kosa lake ni ajabu sanaHizo ni dalili bayana za walioshindwa na hawataki waonekane wameshindwa. Wana inferiority complex. Hata maisha nje ya siasa hao watu wapo. Kukubali madhaifu ni hatua moja ya kujitambua na kurekebisha ulipokosea.
Kuna wadudu gani wale ukiwaweka kwenye ndoo wazi hawatoki wote, akipanda mmoja wa chini anamvuta wanarudi chini wote. Ndo CCM hao na mjane wao.
Huna uwezo wa kunikera mimi hili hata wewe unalijua right?Yes,
fanya siasa bila kuiweka kwa roho utaishi kwa amani sana,
kinyume chake ni mateso makali sana
Upuuzi sana kuacha kuwajibika na kuanza ku compared makosa yako na ya mwingineCcm tayari wanajua wameshaonekana ni chama kibovu na wao ukweli huo wanaujua. Na kwa sehemu kubwa cdm ndio wamechangai kuanika ubovu wa cdm. Sasa wanachofanya ccm ni kuonyesha wao sio wabovu peke yao, bali hata cdm ni wabovu kama wao ama zaidi.
Ni sawa na mtu kutumia kosa la mwingine kuhalalisha kosa lake ni ajabu sana
Watu tulishasema hakuna haja ya mwanasiasa kujivika vazi la utakatifuShida ya CDM walijiweka kuwa wao ni Malaika. Kumbe viongozi wao weeengi nao ni kama CCM tu. Sema hawajapata nafasi. Wakishika madraka nafikiri watakuwa kama au zaidi ya CCM.
Shida ya CDM walijiweka kuwa wao ni Malaika. Kumbe viongozi wao weeengi nao ni kama CCM tu. Sema hawajapata nafasi. Wakishika madraka nafikiri watakuwa kama au zaidi ya CCM.
Hii ndio ajabu wamesahau ilani yao wamejikita dhidi ya upinzaniKukwepa uwajibikaji.
Hatukatai kwenye siasa ukosoaji upo, ila kwa ccm wameifanya ndo jukumu lao kuu kwa sasa, wameisahau hta ilani yao. Hawamuoni Trump na Republic yake baada ya kuingia madarakani, wana concentrate na kufanya sio kukosoa wasio na madaraka. Kazi ya kukosoa imekua ya democrats.
Mambo ya msingi kama haya hayajadiliwi hakuna majukwaa wana nchi wakatoa keroUmesahau kupanda kiholela kwa bei za bidhaa mfano, Saruji..vyakula na n.k huku thamani ya pesa ipo pale pale...Watatua kero wamebaki Kuchambana na kugombania madaraka tu mananchi wanaumia.
🔥🔥brilliant reply of the day
😂😂 AloooNisikuone tena umeweka picha selfika, utakuja kubebwa mzobe mzobe hapo mbezi 😂
Tatizo hili aiseewafuasi wengi wa CCM hawajaandaliwa kufaham maana ya vyama vingi, wao wanadhani ni siasa za nani zaidi