Kiki kwenye siasa ni kukwepa uwajibikaji!

Huna uwezo wa kunikera mimi hili hata wewe unalijua right?

Sasa jikite kwenye hoja na utoe fact tupu bila kuweweseka sawa gentleman?
ni ukweli ninaouleza ndio pekee hua unakera na sio mimi. Kwani mimi ni nani hata nikere waTanzania wenzangu ndugu mdau?

kimsingi hakuna hoja hapo ndugu mdau,
ni hali ya kawaida tu ambayo inataka kufanywa special katika siasa.

In fact,
kuorodhesha malalamiko yako pekee na kulaumu upande usiounga mkono, bila kuonyesha ungefanya nini wewe na upande wa siasa uliopo, katika siasa is just like crying baby.

kila chama cha siasa nchini,
kina agenda, vipaumbele vyake na malengo ya kuanzishwa kwake dhidi ya wananchi. Na dertimined and focused political parties can never be shaken with blames from other opposite parties, especially vile ambavyo havina hata sifa tu ya kushiriki uchaguzi.

Na ndio maana,
huwezi kukuta vyama imara vya siasa vyenye wajibu mbele ya umma, vinababaika na mihemko au makasiriko ya wafuasi wa vyama vya siasa vya fujo na ghasia huku vikitafuta utakatifu 🐒
 
Ndugu mdau kwenye bandiko langu inaonekana ni kama malalamiko au nimekemea tabia mbaya na ya hovyo ya kushupalia wapinzani kuliko kutekeleza mambo ya msingi ambayo tayari nimeyaorodhesha baadhi yake?

Kwanini unasoma bandiko langu kwa sauti ya malalamiko?

Haya tuseme nimelalamika
Wewe ambaye si mlalamishi naomba ujikite kwenye mada hasa kwenye maswali niliyouliza

Tafadhali usini-quote tena kwa mahubiri
Ningependa uchukue hata maswali mawili kati ya niliyouliza uyatolee ufafanuzi wako🐒
 
ndio maana nasisitiza sana kwamba siasa ni sayansi.
sio kosa wala tabia mbaya kwa vyama vya siasa kuzungumziana na kukosoana. In fact hiyo ndio afya na ustawi wa demokrasia ya vyama vingi, unless unafanya kitu kingine tofauti na siasa ukiwa ndani ya chama cha siasa.

Vyama vya siasa kukosoana ni sawa na kuimarishana tu. Ikiwa mashambilizi dhidi ya chama chako ni ya kweli, basi kimya kimya au kwa uwazi kinawajibika kuchukua hatua muafaka za makusudi na kujirekebisha na kujisahihisha ili kuondoa sintofahamu ya kisiasa mbeleni.

malalamiko na porojo zingine zipo kwenye ratiba za wahusika and you can do nothing to change it 🐒
 
Kwahiyo hapo ndio umejibu hoja 😆😆
 
Acha kujidhalilisha
Wewe kutoona hoja haina maana hoja hamna
kwenye siasa hakunaga hiyo kitu ndugu mdau,
hakunaga kuaona aibu, haya wala huruma. We always hit harder on target if you have opportunity to do so.

i'm sorry ikiwa nimedeconstruct theory yako kisiasa, kwasababu hapakua na namana ingine ispokua hivyo. na hata hivyo ni kwa uchache sana, but i think we are all together as Tanzanians family
 
Ila Chadem kushupalia ya CCM ni sawa? Mbona hai CHADEMA hoja zao na mada zao zote huwa zinatokana na vitu wanavyofanya CCM. Hivi nchi hii ukiwa mwanachadema basi hairusiwi wewe kukosolewa, kusemwa n.k?

Usipende kushadadia ya wenzako kama wewe hutaki ya kwako yasemwe. CHADEMA kaeni mbali na masuala ya vyama vyingine, hamna hatimiliki ya siasa za Tanzania peke yenu.
Kabla ya siasa za Vyama vingi vilivyoizaa chadema kuna vyama vilikuwepo. Acheni kujiona nyie ndo kila kitu.
 
Haya kunywa chai sasa
 
Wachache sana ndiyo watakuelewa hapa.

Mwaka 2025 nilielezea hili kwenye uzi wangu 👇.
Shida sio CCM shida ni Watanzania

Watu wachache sana ndiyo walinielewa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…