Kiki kwenye siasa ni kukwepa uwajibikaji!

Kwahiyo una unga mkono serikali kuwekeza nguvu kwa chadema kuliko kero zinazolalamikiwa?
kama umenisoma na kunielewa utaona hakuna nilipo support serikali kuwekeza nguvu kwa Chadema, halafu nafikiri serikali haijawekeza nguvu kwa chadema bali imewekeza nguvu kwa yoyote anayeonekana kutia mchanga kitumbua cha wenye mamlaka bila kujali upande aliopo kisiasa.
 
WEWE TULIA MTOA MADA ANAHOJA NZURI TENA ANAIPENDA CCM KWA VILE CCM NDO IMESHIKA MARADAKA. KWANINI HAITATUI KERO ZA WANANCHI? PAMOJA NA KUPANDA KIHOLELA KWA BIDHAA HUKU THAMANI YA PESA INABAKI PALE PALE MNAKALIA KUPAMBANA NA CHADEMA..SASA HAPO MTOA MADA ANAKOSA GANI? WAKATI ANAWAKUMBUSHA MJIKITE KUWA KARIBU ZAIDI ZA WAPIGA KURA WENU ILI HATA CHADEMA WAKITOA HOJA ZAO MUWE MLISHAZIJIBU KIMATENDO..SIPO UPANDE WA CHAMA CHOTECHOTE LAKINI NAANGALIA UZITO WA HOJA NA MAISHA HALISI.
 
Siungi mkono chama chochote kua na tabia za umbeya
Ila ukosowaji wenye tija tu

Kwahiyo mkuu unataka kusema mnashindana na chadema?
 
Na chadema ni moja wapo
Hili hata sio la kuogopa kusema
 
Toka mtu wako Nchimbi afurushwe, hauko sawa kichwani wewe chawa.
Polee
 
Huku jukwani ukiandika kitu watu wanakutafutia upande

Sio kila mtu hapa ni mwanachama wa chama fulani
Mimi kila siku husema sina chama na sina haja na chama naunga mkono yoyote mwenye kujenga hoja
 
Siungi mkono chama chochote kua na tabia za umbeya
Ila ukosowaji wenye tija tu

Kwahiyo mkuu unataka kusema mnashindana na chadema?
Hakuna anaeshindana na hicho chama bali wao ndo wanajishtukia tu. Sasa hicho chama kuna kipi cha maana kimefanya kwenye nchi hadi watu wapambane nacho? Chama hakijui uwajibikaji bali kuropoka na mihemko tu.
 
Tunaihoji chadema kila wanachofanya baada ya kigundua kumbe chadema ina mkakati wa kuchoma kila kitu tulichokifanya tangu tupate Uhuru mpaka sasa. Mwanzo tulidhani ni msimamo wa Lissu tu lakini kumne sio hivyo, wanasema wenyewe kuwa sio Lissu tu bali chadema nzima ina mkakati huo.
 
Toka mtu wako Nchimbi afurushwe, hauko sawa kichwani wewe chawa.
Polee
my lady,
political dynamics which are inevitable in nature, should improve and strengthen your political carrier and not confuse your political journey, okey?

all my headz,
up and down are currently more powerful and stronger than before, politically speaking
 
Kumbe sayansi pia ni uongo uongo πŸ™„πŸ˜³ !
 
Shida ya CDM walijiweka kuwa wao ni Malaika. Kumbe viongozi wao weeengi nao ni kama CCM tu. Sema hawajapata nafasi. Wakishika madraka nafikiri watakuwa kama au zaidi ya CCM.
Tungewapa nchi na wangefanya hayo ccm wanafanya tungekuwa na uwanda mpana wa kukosoa au kufananisha na CCM zaidi ya hapo ni kuwaonea tu.

Watu ambao wanatakiwa kunyoshewa mkono ni ccm maana wapo hapo madarakani tokea Taifa limezaliwa. Bei ya saruji huko kwako ipoje mkuu?
 
nani Tanzania hii anaweza kuruhusu hao vibaraka wa mabwenyenye ya maghariabi kuongoza nchi hii gentleman?

halafu,

nchi sio peremende au pipi kwamba inaweza kugaiwa kwa watu fulani
 
Hakuna anaeshindana na hicho chama bali wao ndo wanajishtukia tu. Sasa hicho chama kuna kipi cha maana kimefanya kwenye nchi hadi watu wapambane nacho? Chama hakijui uwajibikaji bali kuropoka na mihemko tu.
Ili chadema na vyama vingine vyote vya upinzani siku moja viende Ikulu pia lazima kwanza vikubali sisi sio nchi ya kibepari hatufuati kila wanachofanya nchi za Magharibi kama ushoga, nk, pili, wakubali muungano kama ulivyo sasa. Tatu , Tanzania haifungamani na upande wowote. Hakuna mbwemnwe nyingine yoyoye ya ubelgiji, canada wala Marekani wala Uarabuni wala Vatican.

Vyama vinatakiwa vishindane namna ya kuimarisha uchumi na kuletea maendeleo watu tu sio vinginevyo.

Nchi hii ina risasi nyingi sana na askari wa kutosha kuulinda mfumo wetu huu uliotupatatia hadhi ya kuitwa "the Geneva of Africa", mfumo unaowezesha kila raia kupata ardhi bila kujali kabila lake na dini yake, mfumo unaosambaza huduma za afya, elimu, umeme, barabara, maji na pembejeo kila kona bila kujali eneo, kabila, kanda wala dini za watu. Mfumo unaotuhakikishia chakula kwa kila mtanzania.

Mfumo huu unahakikisha kuwa kila mtu anakuwa na kitu cha kupoteza kama amani na utulivu vikipotea nchini. Ndio maana Lissu yuko ndani zaidi ya mwaka lakini watanzania bado wameshikamana na kufanya kazi zao majumbani, makanisani, miskitini, mashambani, viwandani kwenye madaladala na maofisini. Safi kabisa.

Waleta vurugu ni wachache sana na wanafahamika na ni rahisi kupuuzwa na wananchi. Waleta vurugu wanafanya hivyo kwa malipo makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…