ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #81
Mmegundua kua wanataka kuchoma nchii ki vipi?Tunaihoji chadema kila wanachofanya baada ya kigundua kumbe chadema ina mkakati wa kuchoma kila kitu tulichokifanya tangu tupate Uhuru mpaka sasa. Mwanzo tulidhani ni msimamo wa Lissu tu lakini kumne sio hivyo, wanasema wenyewe kuwa sio Lissu tu bali chadema nzima ina mkakati huo.
Huna hoja.Ukipenda kukosoa na kushadadia ya wengine uwe tayari na ya kwako kujadiliwa na kufuatiliwa. Hizi ulizoandika hapa ni ngonjera za kipuuzi tu
Usininukuu vibaya...mimi sio CHADEMA hata wewe ukileta hoja yenye mashiko nitakuunga mkono....Tatueni kero za Wananchi.Kama mlivyo mashabiki wengi fuata upepo wa CHADEMA.
Sio kila anaesema CCM ni chademaKama mlivyo mashabiki wengi fuata upepo wa CHADEMA.
Kwaiyo Heche au Nchimbi sio watanzania?nani Tanzania hii anaweza kuruhusu hao vibaraka wa mabwenyenye ya maghariabi kuongoza nchi hii gentleman?
halafu,
nchi sio peremende au pipi kwamba inaweza kugaiwa kwa watu fulani
unaweza kuorodhesha porojo za majina yote kadiri uwezavyo,Kwaiyo Heche au Nchimbi sio watanzania?
Mbona unakwepa nachokuulizaunaweza kuorodhesha porojo za majina yote kadiri uwezavyo,
but at the end,
hayupo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeweza kuruhusiwa na waTanzania kuongoza taifa lao gentleman
una marking scheme sio gentleman?Mbona unakwepa nachokuuliza
Na siyo kila anayeisema CHADEMA ni CCMSio kila anaesema CCM ni chadema
Akili zao zote wanaamini mavi ya mzungu ni safi na salama.Sawa, shida ninayoiona ni kwamba CHADEMA wanajiona kwamba wao ndo wana hakimiliki ya nchi pekee yao. Yaani mtu akishakuwa CHADEMA anajiona yeye ndo mtanzania pekee na yeyote mwenye mawazo tofauti na yeye basi hana akili au siyo mtanzania.
Chama chenyewe haijulikani Itikadi au mrengo wake kisiasa. Wakisema wa mrengo wa kulia kimo, mrengo wa kushoto kimo. Wanachama wao wengi nahisi ni kama mazuzu hivi, kazi kuropoka na kukariri maneno ya watu wanaowaita wasomi au maarufu. Ukiuliza mchango wao kwenye nchi sifuri.
Chama ambacho wabunge wake kipindi cha CORONA walienda bungeni wakachukua posho za vikao wakaenda dar kula bata halafu wakapiga kelele wananchi wawekwe lockdown.
Lissu anajidanganya sana kudhani watu wanamuunga mkono, hapana, hapana, hapana. Hata yeye anajua watanzania hawamuungi mkono ndio maana yeye anasota korokoroni wakati watanzania wakisherehekea miaka 30 ya bongo fleva, wakifanya parades za ushindi, wakisherehekea 40 za watoto wao, nk. Siwaonibwatanzania wenye huzuni usoni mimi eti kwakuwa Lissu yuko mahabusu kwa muda mrefu, eti kuna watu walikufa wakati wanachoma miundombinu yetu. Ni watanzania wenzetu watafakari sana.Sawa, shida ninayoiona ni kwamba CHADEMA wanajiona kwamba wao ndo wana hakimiliki ya nchi pekee yao. Yaani mtu akishakuwa CHADEMA anajiona yeye ndo mtanzania pekee na yeyote mwenye mawazo tofauti na yeye basi hana akili au siyo mtanzania.
Chama chenyewe haijulikani Itikadi au mrengo wake kisiasa. Wakisema wa mrengo wa kulia kimo, mrengo wa kushoto kimo. Wanachama wao wengi nahisi ni kama mazuzu hivi, kazi kuropoka na kukariri maneno ya watu wanaowaita wasomi au maarufu. Ukiuliza mchango wao kwenye nchi sifuri.
Chama ambacho wabunge wake kipindi cha CORONA walienda bungeni wakachukua posho za vikao wakaenda dar kula bata halafu wakapiga kelele wananchi wawekwe lockdown.
Mkata viuno hizi siasa za CCM NI mpya kwamba kuteka na kuua wakosoaji ndio sela hasa za kujenga nchi za CCM hii hapana haijawahi kuwepo kokote duniani nihapa tuu jamhuli ya mazuzusiasa ni sayansi ndugu zangu,
ni vizuri kufahamu hilo kabla ya kuingia katika siasa na kudhani kwamba siasa ni kazi ya kutoa mapepo na kutenda miujiza kwa wenye mapepo ya kisiasa na wanaojua kulalamika tu bila kua na altenatives za malalamiko yao.
lakini muhimu sana kufahamu kwamba,
"mambo ya siasa sio ya kuweka kwa roho, ni vizuri yakaishia kwenye lungs tu".
hayo ni maneno yaliyowahi kusemwa na mwanasiasa wa Kenya, ambae kwasasa ni senator wa county ya Uwas Ngishu Jackson Kiplagat Arap Mandago
Very good π β π³ !WELL DONE
Ok , ! πMbona unakwepa nachokuuliza
Hakuna taifa ambalo limemaliza kero za raia wake. Kuwaaminisha vijana kuwa chadema itamaliza kero zote za wananchi ndicho ambacho sisi na CCM tunazuia ulaghai kama huo kwa watanzania, hasa vijana.Kero za wananchi hazitaliwi kwa maneno ya kuzuia wengine kukosoa au kufuatilia chama chenu
Mkata viuno hizi siasa za CCM NI mpya kwamba kuteka na kuua wakosoaji ndio sela hasa za kujenga nchi za CCM hii hapana haijawahi kuwepo kokote duniani nihapa tuu jamhuli ya mazuzu
Shida ya Lissu na wenzake wanataka kutuambia kila alichokifanya na kutuachia Nyerere na Karume katika nchi hii ni nonsense. Yaani wamarekani aje mtu awaambie kila alichofanya George Washington na Abraham Linvolin waachane nacho ni upuuzi. Wachina wale aje mwanasiasa machachari kama Lissu awaambie kila alichokiacha Mao ni ujinga mtupu achaneni nacho ili mfanane na Brussels. Waingereza wale waachane na mfumo ya kifalme unaoabudu watu wa ukoo mmoja tu wa Malkia Elizabeth.unaweza kuorodhesha porojo za majina yote kadiri uwezavyo,
but at the end,
hayupo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeweza kuruhusiwa na waTanzania kuongoza taifa lao gentleman
Kuna muda mnajiumbua wenyewe kwenye hiili jukwaa kumbe na hii I'd lumumba buku7fc Basi leo nimeamini kumbe CCM kutwa kucha tunasumbuana na watu wa2 au mmoja sihabgaiki na nyie mazuzu Tena nawapuuza. Kwanzia Leo mavi nyie.Usifikiri China hakuna watu wanaowaza kama Lissu, Heche na wewe, wapo lakini wanazo dawa zao. Dola haichezewi maana ina kila aina ya watu wenye akili, nguvu, ujuzi na maarifa wa rika, dini na jinsia zote. Akina Katuga kiboko ya Heche wako wengi sana kwenye dola.
Dola tumeikabidhi silaha nyingi sana za ukubwa na hatari tofautitofauti kwaajili ya kulinda dola, watu na mali zao dhidi ya maadui zetu. Hii ni nchi yetu sote hivyo tumia dialogue kama unaona kuna jambo haliendi sawa badala ya kutumia nguvu kulazimisha jambo lako litekelezwe. Kutumia nguvu kutasababisha ndola litumie nguvu zake tulizowapa kupambana na wewe (autophage) ili kulinda wale wanaotakiwa kulindwa na dola dhidi ya adui wa ndani na nje.
Kama kamusi ya Kiswahili ina maneno kama kibaraka, msaliti, mhaini, kuwadi basi hakuna dola inayokosa vibaraka, wasaliti, wahaini na makuwadi.
ushasema dukuduku lako umeitendea haki katiba umetumia uhuru wako wa maoni vizuri, waachie wengine pia watoe maoni yao.Hivi kudandia mambo ya chama kingine ambayo hayawahusu ni umbeya au kutafuta kiki?
Hii haimaanishi watu wasihoji au kukosoa mnaruhusiwa kabisa kuhoji
Lakini watu wa humu jukwaani wa CCM kuanza kushupalia mambo ya CHADEMA, ni kwa sababu wao ni waadilifu sana au ni umbeya tu?
Nyie mmelalamikiwa mara ngapi kwa kufanya ufisadi, tena kwa ushahidi, mbona hamuongelei?
Ila mkisikia Heche ana magari 5, mnalipuka! Huu ni ushamba au ni ujinga?
Mnaacha kusikiliza kero za wananchi, mnajadili CHADEMA kila siku kana kwamba kila mwananchi ni CHADEMA
Nashangazwa pia na viongozi wa hii nchi wanavyoacha kutatua kero za wananchi na kuanza kushupalia wapinzani
Vipi kuhusu Katiba Mpya?
Vipi kuhusu Tume ya Uchaguzi?
Vipi kuhusu Muungano?
Vipi kuhusu ajira, wakati watu wengi waliomaliza vyuo wanakaribia kuishia kuwa bodaboda?
Vipi kuhusu ile bima ya afya kwa wote?
Vipi kuhusu elimu bora?
Vipi kuhusu watu kupotezwa?
Vipi kuhusu October 29?
Au mmeweka Lissu gerezani kama kutafuta kiki?
Maana inaonekana watu wasijadili tena vitu vingine
Kila siku ni attention kwa Mahakama ili tukija kushtuka ni 2030.
Mmetumia Lissu kama kete?
Kimsingi, kama kuna kesi dhidi yake, basi mahakama ifanye kazi yake na iamue kwa mujibu wa sheria
Lakini hizi dana dana zisizo na mwisho ni uonevu mkubwa kwa mshtakiwa na kwetu sisi wananchi
Tukisema hana kosa ila mnamtumia
Kusogeza muda mbele na kukwepa kuwajibika tutakua tunakosea?
Wananchi wana kero nyingi.
Msituambie kila siku kuhusu CHADEMA tu tuambieni kuhusu maisha ya wananchi ajira, afya, elimu, uchumi na usalama wao
Kuna tofauti kati ya kuhoji kwa maslahi ya umma na kudandia kila jambo la chama kingine kwa sababu tu ni chama kingine
ShesRise_1 βοΈ