Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni.

Nimejaribu kutafuta hicho chuo kinachojulikana kama "Yohana Iniversity" kama mwenzetu alivyoandika nimekikosa.

Naomba msaada kwa anayejua Yohana university ilipo anisaidie nikaangaliepo ngekewa na mimi.
 
Itabidi Yohane Mwesiga aje kutueleza. Hizi kazi teuzi zinaangalia nini?
 
Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni.

Nimejaribu kutafuta hicho chuo kinachojulikana kama "Yohana Iniversity" kama mwenzetu alivyoandika nimekikosa.

Naomba msaada kwa anayejua Yohana university ilipo anisaidie nikaangaliepo ngekewa na mimi.

VAR imetumika kurekebisha matokeo. Mkeka umeumana
 
Back
Top Bottom