Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

Wewe unasoma nini hapo St. John University (Evening Class ya Dar)??
Hapana Ila nafahamu watu waliosoma hapo tena kozi wanazotoa hapo ni hiyo hiyo HR Aliyosoma msaafu WA TPDC mwanzoni walipoanza walikodi madarasa mjini katikati Ila nasikia, sina uhakika walishajenga . Hii ukiacha na Ile iliyokuwa Mazengo Sec School. Hivyo St John ya Mazengo ina Tawi Mjini ambalo nahisi ndilo alisoma mstaafu.
 
Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni.

Nimejaribu kutafuta hicho chuo kinachojulikana kama "Yohana Iniversity" kama mwenzetu alivyoandika nimekikosa.

Naomba msaada kwa anayejua Yohana university ilipo anisaidie nikaangaliepo ngekewa na mimi.
Mkuu, keshapigwa chini haya mengine ya kwake au kuna kitengo kapewa tena?
 
Pengine anamaanisha Johns Hopkins University Tanzanian Centre.
 
Chukua rushwa hii ndugu yangu usikitafute hicho chuo tena.
IMG_20210405_162500.jpg
 
Back
Top Bottom