Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

Wewe unatafsiri majina lakini kiuhalisia St John University siyo Chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana labda kama kilisajiliwa kwa majina mawili!
Uhalisia vipi babu, kama nataka kutumia kiswahili je? Mbona south Afrika tunaiita Afrika kusini? USA - marekani...yote sawa tuu John ndio Yohana kwa kiswahili!!
 
Back
Top Bottom