St John University ndio Yohana University?Labda kitakua st John
St. John ndio Mt. Yohana hapo university ndio UtataSt John University ndio Yohana University?
Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni.
Nimejaribu kutafuta hicho chuo kinachojulikana kama "Yohana Iniversity" kama mwenzetu alivyoandika nimekikosa.
Naomba msaada kwa anayejua Yohana university ilipo anisaidie nikaangaliepo ngekewa na mimi.
True ni St John ya Dodoma na jioni wanatoa Degree hapa Dar office Yao ni St Mark. Najua watu waliosoma hapo bado hakuna shortcut sijui Kwa SASA.itakua ni ile st John ya dodoma
Wewe unatafsiri majina lakini kiuhalisia St John University siyo Chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana labda kama kilisajiliwa kwa majina mawili!St. John ndio Mt. Yohana hapo university ndio Utata
Nimeona CV ya mkurugenzi mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga akieleza kuwa anasoma "Yohana University" masomo ya jioni.
Nimejaribu kutafuta hicho chuo kinachojulikana kama "Yohana Iniversity" kama mwenzetu alivyoandika nimekikosa.
Naomba msaada kwa anayejua Yohana university ilipo anisaidie nikaangaliepo ngekewa na mimi.
Hapo sasa.Wewe unatafsiri majina lakini kiuhalisia St John University siyo Chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana labda kama kilisajiliwa kwa majina mawili!