Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

St John's University of Tanzania kilichoko Kikuyu mkoani Dodoma, ndio wakati mwingine huitwa hivyo kwa kiswahili.

Hata hivyo, nina mashaka na matumizi ya hilo jina kutumika kwenye CV kwani sio rasimi na wameshindwa hata kuandika chuo cha Mtakatifu Yohana badala yake wametaja tu chuo kikuu cha Yohana.

Nina wasiwasi huenda hata hakusoma hicho chuo na ndio maana wamekwepa kutumia jina linalotambulika rasimi la St John'S University of Tanzania unless kuandika hiyo CV kwa kiswahili ndio labda iwe sababu.

Swali linabaki: kwa mtu anaekijua hicho chuo au aliyesoma hapo hawezi kuacha kutanguliza neno "Mtakatifu" katika kutaja hicho chuo kwa kiswahili tena unapoandika kitu sensitive kama CV ingawa hata namna hiyo CV ilivyoandikwa ni utata mwingine.

Kwa kifupi, maswali ni mengi kuliko majibu!
 

The former Mazengo High School.
 
Wewe unatafsiri majina lakini kiuhalisia St John University siyo Chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana labda kama kilisajiliwa kwa majina mawili!
Mbona kuna Chuo Kikuu huria na Open University of Tanzania? Labla alijaribu kupita humo humo. Cha muhimu hii tafsiri yake ya YOHANA haina magumashi? ilikuwa ya Nia nzuri? Je kweli kasoma St John evening class?
 
True ni St John ya Dodoma na jioni wanatoa Degree hapa Dar office Yao ni St Mark. Najua watu waliosoma hapo bado hakuna shortcut sijui Kwa SASA.
Wewe unasoma nini hapo St. John University (Evening Class ya Dar)??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…