Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

Wewe unasoma nini hapo St. John University (Evening Class ya Dar)??
Hapana Ila nafahamu watu waliosoma hapo tena kozi wanazotoa hapo ni hiyo hiyo HR Aliyosoma msaafu WA TPDC mwanzoni walipoanza walikodi madarasa mjini katikati Ila nasikia, sina uhakika walishajenga . Hii ukiacha na Ile iliyokuwa Mazengo Sec School. Hivyo St John ya Mazengo ina Tawi Mjini ambalo nahisi ndilo alisoma mstaafu.
 
Mkuu, keshapigwa chini haya mengine ya kwake au kuna kitengo kapewa tena?
 
Pengine anamaanisha Johns Hopkins University Tanzanian Centre.
 
Chukua rushwa hii ndugu yangu usikitafute hicho chuo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…