Kiko wapi "Yohana University" ambacho anasomea Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa TPDC ndugu Thobias Mwesiga?

πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani Yohana kama Yohana, mimi ninayemjua ni Yohana Mbatizaji sijawahi kusikia mwingine....
 
Kiko ccm lumumba jengo la umoja wa vijana
 
Katiba inasemaje kuhusu mafao yake au yatatumwa hukohuko uvccm
πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkurugenzi mstaafu atapangiwa majukumu mengine, huenda hii ni kiki atakuwa KM CCM.

Everyday is Saturday...............................😎
 
Ipo Tandale kwa Tumbo
 
Huyu kutokana na ukatekesta wake akaona kutumia Yohana badala ya John si mbaya kwa sababu Yohana alimbatiza Jesus.

Ili nae aonekane smart Kumbe ameshawahi kutishia kuuwa huko bungeni
Mi najiuliza ilikuaje akafukuzwa chuo kisa vurugu!. inamaana alikuwa bado hajawa mzee wa suti nyeusi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…